Match ya Boxing kati ya Mike Tyson na Jake Paul, matokeo yalikwisha pangwa

Match fixing........ Yes, it was.

Wamepigana ile kisela tu. Mike hakuwa seriously Wala bwana Paul. Wote lengo lao lilikuwa Moja, kutoaibishana.
 
Dogo hujui kitu, rudi kafanye tafiti.... Boxing inapangwa vizuri tu
Nyie madogo wa miaka ya 2000s changamoto sana. Halafu hamna kitu kichwani. Mmejaza makamasi tu badala ya ubongo na kazi yenu ni ku twerk tu siku nzima.
 
Jinsi unavyo address vitu kwa kuita watu dogo ni inadhihirisha ni kwa namna gani unakurupuka, na unanyea kambi bila kujua anayezungumza ni mtu wa aina gani na wa umri gani!

Ungekuja na hoja nzuri bila kunyea kambi ningekujibu kwa hoja...

Matokeo kupangwa kwenye Boxing sio jambo geni, labda kama wewe ni mgeni kwenye Boxing.... Pili kwa experience ya Mike Tyson ukitoa umri, bado yuko fit sana kwenye Boxing ukilinganisha na Logan ambaye ni YouTuber tu na sio professional boxer.... Kwa umri wa Mike Tyson na bado akaweza kwenda Round zaidi ya Saba na kushindwa kwa point unahisi ni kitu cha kawaida... Boxing yao imepangwa, hiyo ni full stop, Bishana na Keyboard yako... Alafu pia acha kuleta dharau kwenye Post za watu, Maku wewe
Nyie madogo wa miaka ya 2000s changamoto sana. Halafu hamna kitu kichwani. Mmejaza makamasi tu badala ya ubongo na kazi yenu ni ku twerk tu siku nzima.
 
You can't box at 58, huwezi tu, it's the other way around, walipanga wasimuaibishe tu Tyson.... In a serious fight Jake anampiga huyu Mzee hata napambano 100 mfululizo, the Mike you knew is gone, this is the shadow of the man, get over it
Mike tyson at 58 still yuko fit, hizi type of game ni za marketing. At hiyo age kungewekwa mkanda, ungemuona mike wa tofauti
 
Nikusahihishe kwanza Jake Paul sio Bondia Professional.... Jake Paul ni madogo wa mjini wanaojua kutafuta Pesa kwa kutengeneza vitu vyenye kuleta Attention... Nitafutie Biograph ya Jake Paul inayosema yeye ni professional boxer....

Mike Tyson ni miongoni mwa Boxer professional waliowahi kutisha Dunia, na mpaka sasa bado anaogopwa,

Jake Paul kiuhalisia wakipigana lazima angeshindwa, ila ni kwa sababu ya kibiashara, Mike Tyson kaamua kuchukua mpunga
Dogo hujui kitu. Unakaa kwenye kijiwe unasimuliwa unakuja anzisha uzi. Hata Jake Paul humfahamu. Unasema siyo Pro? Hujui.
Screenshot_2024-11-16-22-40-42-063_org.mozilla.firefox.jpg
 
Nyie madogo wa miaka ya 2000s changamoto sana. Halafu hamna kitu kichwani. Mmejaza makamasi tu badala ya ubongo na kazi yenu ni ku twerk tu siku nzima.
Dogo acha kukariri kwamba kila unayechat nae humu ni dogo wa 2000... Nzi akiacha ujinga anaweza kutengeneza asali.... Acha kuwa kama Nzi
 
Dogo hujui kitu. Unakaa kwenye kijiwe unasimuliwa unakuja anzisha uzi. Hata Jake Paul humfahamu. Unasema siyo Pro? Hujui.
View attachment 3153991
Narudia tena, Jake Paul ni madogo wa mjini wanaojaribu bahati zao kwenye kila mchezo, ni kama I Show Speed alivyo....

Sasa wewe baki na komwe lako hapo...
 
Dogo acha kukariri kwamba kila unayechat nae humu ni dogo wa 2000... Nzi akiacha ujinga anaweza kutengeneza asali.... Acha kuwa kama Nzi
Nyie madogo wa miaka ya 2000s changamoto sana. Halafu hamna kitu kichwani. Mmejaza makamasi tu badala ya ubongo na kazi yenu ni ku twerk tu siku nzima.
 
Narudia tena, Jake Paul ni madogo wa mjini wanaojaribu bahati zao kwenye kila mchezo, ni kama I Show Speed alivyo....

Sasa wewe baki na komwe lako hapo...
Nyie madogo wa miaka ya 2000s changamoto sana. Halafu hamna kitu kichwani. Mmejaza makamasi tu badala ya ubongo na kazi yenu ni ku twerk tu siku nzima.
 
Kuna taarifa zinasambaa kwamba Mike Tyson alishaanza kuingia kwenye utitiri wa madeni. Ukwasi wote aliokusanya ujanani aliufuja kwa haraka sana

Nakubaliana na mtoa mada kwamba moja ya sababu za hili pambano ilikuwa ni kumtoa Mike kwenye hiyo financial crisis aliyokuwa anapitia.

Kwenye hilo pambano Mike kaondoka na 20$ million, hii ni sawa na 54 billions kwa pesa za madafu, sio haba.
hv hawa jamaa huwa wanapeleka wapi hela?
 
Nyie madogo wa miaka ya 2000s changamoto sana. Halafu hamna kitu kichwani. Mmejaza makamasi tu badala ya ubongo na kazi yenu ni ku twerk tu siku nzima.
Shida wewe dogo unaleta ujuaji kwenye kurasa za watu, ngoja tuje tukupakie mkongo tukutatue hilo jicho la tatu... Madogo wa siku hizi mnaleta dharau kwa Baba zenu
 
Nyie madogo wa miaka ya 2000s changamoto sana. Halafu hamna kitu kichwani. Mmejaza makamasi tu badala ya ubongo na kazi yenu ni ku twerk tu siku nzima.
Shida wewe dogo unaleta ujuaji kwenye kurasa za watu, ngoja tuje tukupakie mkongo tukutatue hilo jicho la tatu... Madogo wa siku hizi mnaleta dharau kwa Baba zenu
 
Nikusahihishe kwanza Jake Paul sio Bondia Professional.... Jake Paul ni madogo wa mjini wanaojua kutafuta Pesa kwa kutengeneza vitu vyenye kuleta Attention... Nitafutie Biograph ya Jake Paul inayosema yeye ni professional boxer....

Mike Tyson ni miongoni mwa Boxer professional waliowahi kutisha Dunia, na mpaka sasa bado anaogopwa,

Jake Paul kiuhalisia wakipigana lazima angeshindwa, ila ni kwa sababu ya kibiashara, Mike Tyson kaamua kuchukua mpunga
Mkuu Dogo ni professional boxer
Wasifu wake popote pale unasomeka hivyo...... just do a simple googling
Unless wewe ndio unithibitishie kwamba sio professional boxer

Pambano lilikua halisi Mike alikua najaribu bahati yake

Swala la mpunga bado nasisitiza ni mabondia gani wanaopigana kwasababu zisizo za kibiashara? hawataki mpunga hadi inaonekana ajabu kwa Mike kuondoka na mpunga?
 
Back
Top Bottom