Match ya Boxing kati ya Mike Tyson na Jake Paul, matokeo yalikwisha pangwa

You can't box at 58, huwezi tu, it's the other way around, walipanga wasimuaibishe tu Tyson.... In a serious fight Jake anampiga huyu Mzee hata napambano 100 mfululizo, the Mike you knew is gone, this is the shadow of the man, get over it
DOgo haelewi hilo yeye kaambiwa tu kuwa lilipangwa. Basi kabeba hivyo hata Mike Tyson hamfaham alikuwaje. Hawa madogo wa 2000s ni changamoto sana.
 
Hata George Foreman aliacha boxing 1977 akarudi mwaka 1994 , ana kitambi na alikuwa mhubiri kwa muda mrefu, alirudi kutafuta pesa baada ya manager wake kula pesa zake zote...

Katika umri wa miaka 45 akachukua mkanda wa dunia katika uzito wa juu kitu ambacho hakuna aliyetegemea na ikabaki historia hadi hii leo.

Haya ni mambo yanatokea.
 
Kwani kuna mtu alisema tydon anashinda?
 
Ambacho sio cha kweli kwenye maelezo yako ni kusema pambano limepangwa matokeo
Hakuna namna ambapo Bondia wa kaliba na umri wa Jack anahitaji kupanga matokeo ili kumpiga Tyson wa miaka 58

Kuhusu Tyson na Jack kutafuta hela.... hakuna pambano duniani linalofanyika wahusika wasipate hela
 

Kwahiyo unaamini tyson angeshinda! Watu weupe huwa mnawachukuliaje kwa mfano!
 
Jinsi unavyo address vitu kwa kuita watu dogo ni inadhihirisha ni kwa namna gani unakurupuka, na unanyea kambi bila kujua anayezungumza ni mtu wa aina gani na wa umri gani!

Ungekuja na hoja nzuri bila kunyea kambi ningekujibu kwa hoja...

Matokeo kupangwa kwenye Boxing sio jambo geni, labda kama wewe ni mgeni kwenye Boxing.... Pili kwa experience ya Mike Tyson ukitoa umri, bado yuko fit sana kwenye Boxing ukilinganisha na Logan ambaye ni YouTuber tu na sio professional boxer.... Kwa umri wa Mike Tyson na bado akaweza kwenda Round zaidi ya Saba na kushindwa kwa point unahisi ni kitu cha kawaida... Boxing yao imepangwa, hiyo ni full stop, Bishana na Keyboard yako... Alafu pia acha kuleta dharau kwenye Post za watu, Maku wewe
 
DOgo haelewi hilo yeye kaambiwa tu kuwa lilipangwa. Basi kabeba hivyo hata Mike Tyson hamfaham alikuwaje. Hawa madogo wa 2000s ni changamoto sana.
Dogo hujui kitu, rudi kafanye tafiti.... Boxing inapangwa vizuri tu
 
You can't box at 58, huwezi tu, it's the other way around, walipanga wasimuaibishe tu Tyson.... In a serious fight Jake anampiga huyu Mzee hata napambano 100 mfululizo, the Mike you knew is gone, this is the shadow of the man, get over it
Jake Paul sio Professional Boxer, uwezi kulinganisha na Mike Tyson ambaye alikuwa Heavyweight champion na Experienced Boxer. Jake Paul alikuwa anakaa kama ingekuwa a serious fight


Hilo pambano lilikuwa ni Biashara kumuinua Jake Paul na kumtajirisha Mike Tyson ambaye anapitia shida za kifedha. Sign the Contract
 
Nikusahihishe kwanza Jake Paul sio Bondia Professional.... Jake Paul ni madogo wa mjini wanaojua kutafuta Pesa kwa kutengeneza vitu vyenye kuleta Attention... Nitafutie Biograph ya Jake Paul inayosema yeye ni professional boxer....

Mike Tyson ni miongoni mwa Boxer professional waliowahi kutisha Dunia, na mpaka sasa bado anaogopwa,

Jake Paul kiuhalisia wakipigana lazima angeshindwa, ila ni kwa sababu ya kibiashara, Mike Tyson kaamua kuchukua mpunga
 
Ficha ujinga na wewe,unakua kama Lucas Mwashambwa mshamba mshamba toka mbozi.anajifanya anaijua ccm cheo hapati ng'oooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…