Match ya Boxing kati ya Mike Tyson na Jake Paul, matokeo yalikwisha pangwa

Hiyo phase ya kufirisika na kuwa na madeni mike alikuwa ashaipita. Alitumia mali vibaya akafirisika akafile for bankruptcy lakini baadae akaweza fanya maamuzi ya kibiashara na kurudi kuwa na pesa japo si hata robo ya pesa aliyokuwa nayo awali, lakini last I checked alikuwa ana kama utajiri wa dollar milion 10 za kimarekani kutoka kuwa na utajiri wa dola milion 300 za awali.
 
Hii mechi ilipigwa lini mkuu?
 
DOgo haelewi hilo yeye kaambiwa tu kuwa lilipangwa. Basi kabeba hivyo hata Mike Tyson hamfaham alikuwaje. Hawa madogo wa 2000s ni changamoto sana.
Your browser is not able to display this video.
 
Nakubaliana na wewe 💯
 
Wewe hamnazo
 
Mzee wety Jana baya.
Anahitaji pongezi kwa umri huo bado anarusha ngumi. Sio mchezo
 
Yaani mkuu umeshindwa kutambua hiyo picha ni Photoshop au ndio unatupanga.

Labda useme imetengenezwa siyo imepigwa miaka hiyo ya 90.
 
Hata mimi nilihisi kuna fixing imefanyika. Yaani roundi kibao Tyson alikuwa harushi ngumi hata moja!. Sisi tunajua Tyson asingesjindwa kurusha ngumi hata tano za kumkalisha dogo
 
Nyie madogo wa miaka ya 2000s changamoto sana. Halafu hamna kitu kichwani. Mmejaza makamasi tu badala ya ubongo na kazi yenu ni ku twerk tu siku nzima.
I think Tyson alikuwa ana ngata gloves. Ameonekana mara kibao akijizuia kutupa ngumi na hata zile Combination zake.

Kweli Mike Iron Tyson wa kurusha punches 79 tu🤣. Dude ameishi ktk Script, utaona hata ktk face off zao, interviews alizo kuwa anafanyiwa alikuwa hapo kimwili tu, but akili na nafsi yake vinapingan na Script aliyopewa.

Tungetaka kuona real Fight, ingekuw MSHINDI anapewa USD 100M .

Tyson ni Warthog, Kasongo yeye.
 
Nan kakuambia kutokua na familia ni kuishi kihuni?
Asante kwa Kututetea wale tusiokuwa na Familia bado huku tukionekana na Washamba kuwa Sisi ni Wahuni wakati kiuhalisia Sisi ni Watu wazuri na wastaarabu sana kwani huwa tunawasaidia mno Wake za Wanaume wenye Familia pale wanaposhindwa Kuwahudumia ipasavyo huko Majumbani Kwao.
 
Ile ilikuwa kiki tu, Tyson angetaka pambano LA kweli, angemtsfuta Athony Joshua, au Maywhether! Mwamba kafulia, kaamua kupiga pesa kwa comedy za boxing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…