Mate kujaa mdomoni, tena yenye harufu mbaya wakati wa kuamka asubuhi husababishwa na nini?

Elon J

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2022
Posts
635
Reaction score
1,907
Jamani wataalam au mtu anayejua hili tatizo la Kujaa Kwa mate mdomo wakati wa kuamka asubuhi, tena haya mate Huwa yanatoa harufu mbaya mno, muda mwingine hata mchana tu nikilala sana, nikiamka tu nakuta mate yamejaa mdomon sijui shid ni nini.

Wataalam au wenye kujua hili tatizo jamanšŸ™
 
Safisha kinywa,ulimi,kati ya meno walau mara 2/3 kwa siku
Kunywa maji
Tafuna karafuu/bigG
 
Jamani wataalam au mtu anayejua hili tatizo la Kujaa Kwa mate mdomo wakati wa kuamka asubuhi, tena haya mate Huwa yanatoa harufu mbaya mno,, mda mwingine hata mchana tu nikilala San, nikiamka tu nakuta mate yamejaa mdomon sijui shid ni nini.
Wataalam au wenye kujua hili tatizo jamanšŸ™
Tumbo lina matatizo.
 
Safisha kinywa,ulimi,kati ya meno walau mara 2/3 kwa siku
Kunywa maji
Tafuna karafuu/bigG
Kinywa hakitoi harufu! But Huwa inatokea wakat naamka tu ndio mate yanajaa mdomo yenye harufu mbaya. But Baada ya kuamka na kupiga mswaki mambo Huwa shwari kbsa shida ni wakt pale ninapoamka
 
Mimi hunitokea katikati ya Usiku nikiwa nimelala usiku mnene kabisa....yanajaa ghafula tu...ila ni Kwa nadra sana .. Kwa miaka miwili labda once or twice
 
Jamani wataalam au mtu anayejua hili tatizo la Kujaa Kwa mate mdomo wakati wa kuamka asubuhi, tena haya mate Huwa yanatoa harufu mbaya mno, muda mwingine hata mchana tu nikilala sana, nikiamka tu nakuta mate yamejaa mdomon sijui shid ni nini.

Wataalam au wenye kujua hili tatizo jamanšŸ™
Ukitaka kulala weka ugoro
 
Mimi hunitokea katikati ya Usiku nikiwa nimelala usiku mnene kabisa....yanajaa ghafula tu...ila ni Kwa nadra sana .. Kwa miaka miwili labda once or twice
Hukutumia dawa yoyote
 
Back
Top Bottom