Mate kujaa mdomoni, tena yenye harufu mbaya wakati wa kuamka asubuhi husababishwa na nini?

Mate kujaa mdomoni, tena yenye harufu mbaya wakati wa kuamka asubuhi husababishwa na nini?

Kinywa hakitoi harufu! But Huwa inatokea wakat naamka tu ndio mate yanajaa mdomo yenye harufu mbaya. But Baada ya kuamka na kupiga mswaki mambo Huwa shwari kbsa shida ni wakt pale ninapoamka
Fanya salt cleanse, changanya glass moja ya maji ya vuguvugu na chumvi vijiko viwili hasa chumvi isiyokuwa na madini joto au himalayan salt kuamulia na na vijiko viwili vya limao korogo vizuri then kunywa nenda Kalale kwa ubavu huku una fanya massage tumbo lako baada ya dakika 30 utahisi kuharisha mara kadhaa basi hapo umesafisha uchafu wote uliopo kwenye utumbo fanya hivi kila baada ya wiki moja kwa mwezi mmoja.

Hakikisha zoezi hili umefanya kabla ya kula kitu chochote kile au kizungu empty stomach.

Inashauriwa fanya zoezi hili ikiwa tayari umetumia dawa za minyoo

Ukipata majibu leta mrejesho hapa
 
Nashukuru Kwa ushauri wko mkuu,ngoja nikalifanyie kaz ntaleta mrejesho🙏
 
Habari,

Utoaji wa mate mengi pamoja na kuwa yenye harufu mbaya inahusisha na:

1: Gastroessophageal reflux (GERD).
Kuwa na hali ya majimaji toka tumboni kurejea kinywani.

2: Nasal congestion/ kutokupitisha hewa vizuri puani kutokana na njia kuwa ndogo.
Mfano: Rhinosinusitis, nasal polyps

3: Matatizo yanayoweza kuhusisha mishipa ya fahamu.

3: Sleep apnea
Kuwa na tatizo la upumuaji na ufikishaji oksijeni wakati wa kulala. Mfano: Unene vs shingo fupi nk.

4: Matumizi ya dawa
Kuna baadhi ya dawa huongeza hali hii.

NB: Ni vyema kuwaona wataalamu wa afya ili kuweza kupata historia yako vizuri, kufanyiwa ukaguzi na vipimo itakapohitajika. Ili uweze kupata suluhisho.
Afuate ushauri wako
 
Mimi hunitokea katikati ya Usiku nikiwa nimelala usiku mnene kabisa....yanajaa ghafula tu...ila ni Kwa nadra sana .. Kwa miaka miwili labda once or twice
Mara moja kwa miaka miwili halafu unakumbika!! Mkuu ulitoa lita 10 niniii?
 
Jamani wataalam au mtu anayejua hili tatizo la Kujaa Kwa mate mdomo wakati wa kuamka asubuhi, tena haya mate Huwa yanatoa harufu mbaya mno, muda mwingine hata mchana tu nikilala sana, nikiamka tu nakuta mate yamejaa mdomon sijui shid ni nini.

Wataalam au wenye kujua hili tatizo jaman
Vipi ulipona?
 
Mi pia nlikuaga napata mate sijui ni saikolojia tu, yalikoishia hata sijui
 
Nlikua na tatizo hilo nikaja kugundua nlikua na minyoo,pia usagaj wa chakula ukawa shida kwasababu nlikua natumia pombe,nikatumia dawa za minyoo,nikaanza kula vizur ikiwemo matunda na mboga za majani,kuswaki vizuri haswa ulimi mana weng tunasugua meno badala ya ulimi,ulim ndo unatoa harufu
Umemaliza kila kitu,mim asubuh nikiamka nilikua nakuta mate meng kwenye mto,harufu mbaya,nikaja kugundua ni pombe,nikapumzika miez mitatu,hali ikapotea na harufu mbaya mdomon na nikienda choon kinyes hakitoi harufu mbaya,nakunywa maji mengi,matunda na mboga za majan,tatizo limeondoka kabisa,nuru imerudi upya...tufanye mazoez na tule sana vyakula vyenye alkaline haswa matunda na mboga mboga ni dawa
 
mimi mwenyewe nina tatizo hilo kwa sasa linanisumbua... mi ni muda wote ni meupe yana mapovu kama ya nyoka.... natumia dawa sa vidonda vya tumbo lakin wapi.... nakunywa maji mengi lakini no solution

mwenye solution please anisaidie...
 
Jamani wataalam au mtu anayejua hili tatizo la Kujaa Kwa mate mdomo wakati wa kuamka asubuhi, tena haya mate Huwa yanatoa harufu mbaya mno, muda mwingine hata mchana tu nikilala sana, nikiamka tu nakuta mate yamejaa mdomon sijui shid ni nini.

Wataalam au wenye kujua hili tatizo jaman🙏
 
Back
Top Bottom