Jitahidi kuweka kinywa chako safi wakati woteJamani wataalam au mtu anayejua hili tatizo la Kujaa Kwa mate mdomo wakati wa kuamka asubuhi, tena haya mate Huwa yanatoa harufu mbaya mno, muda mwingine hata mchana tu nikilala sana, nikiamka tu nakuta mate yamejaa mdomon sijui shid ni nini.
Wataalam au wenye kujua hili tatizo jamanš
Asubuhi piga mswaki vizuri
Kila ukila hakikisha unasukutua mdomo kutoa mabaki ya chakula ambayo yanavutia bacteria na ndio wanaoleta barufu mbaya mdomoni
Na kabla ya kulala usiku piga mswaki vizuri
Hutojawa na mate asubuhi kama kinywa chako ni kisafi