Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani wataalam au mtu anayejua hili tatizo la Kujaa Kwa mate mdomo wakati wa kuamka asubuhi, tena haya mate Huwa yanatoa harufu mbaya mno, muda mwingine hata mchana tu nikilala sana, nikiamka tu nakuta mate yamejaa mdomon sijui shid ni nini.
Wataalam au wenye kujua hili tatizo jaman🙏
Nlikua na tatizo hilo nikaja kugundua nlikua na minyoo,pia usagaj wa chakula ukawa shida kwasababu nlikua natumia pombe,nikatumia dawa za minyoo,nikaanza kula vizur ikiwemo matunda na mboga za majani,kuswaki vizuri haswa ulimi mana weng tunasugua meno badala ya ulimi,ulim ndo unatoa harufuJamani wataalam au mtu anayejua hili tatizo la Kujaa Kwa mate mdomo wakati wa kuamka asubuhi, tena haya mate Huwa yanatoa harufu mbaya mno, muda mwingine hata mchana tu nikilala sana, nikiamka tu nakuta mate yamejaa mdomon sijui shid ni nini.
Wataalam au wenye kujua hili tatizo jaman🙏
Mi chumvini nazama nkimaliza natumia mouth wash then matunda mengi.No infection BudaHivi mnafikiri kwanini mi nasema kamwe sitoenda chumvini?!!!!! Hilo ni moja katika mengi.
Okay, dawa Gani za minyoo uliitumia, na je Hilo tatizo lako lilipona kabsaNlikua na tatizo hilo nikaja kugundua nlikua na minyoo,pia usagaj wa chakula ukawa shida kwasababu nlikua natumia pombe,nikatumia dawa za minyoo,nikaanza kula vizur ikiwemo matunda na mboga za majani,kuswaki vizuri haswa ulimi mana weng tunasugua meno badala ya ulimi,ulim ndo unatoa harufu
ACHA UJINGANtajaribu🙏
We unabyonya Kila mdada mkuu.Sheria ya kwanza usinyonye mdada anayevaa suruali.Huko hatar Mzee waweza kukatika ulimi hivihiv, wadada wenyewe Hawa wanaozunguka juani hawa
Okay, nashukuru Kwa maelezo yko mkuu, ntayafanyia kaz.🙏Habari,
Utoaji wa mate mengi pamoja na kuwa yenye harufu mbaya inahusisha na:
1: Gastroessophageal reflux (GERD).
Kuwa na hali ya majimaji toka tumboni kurejea kinywani.
2: Nasal congestion/ kutokupitisha hewa vizuri puani kutokana na njia kuwa ndogo.
Mfano: Rhinosinusitis, nasal polyps
3: Matatizo yanayoweza kuhusisha mishipa ya fahamu.
3: Sleep apnea
Kuwa na tatizo la upumuaji na ufikishaji oksijeni wakati wa kulala. Mfano: Unene vs shingo fupi nk.
4: Matumizi ya dawa
Kuna baadhi ya dawa huongeza hali hii.
NB: Ni vyema kuwaona wataalamu wa afya ili kuweza kupata historia yako vizuri, kufanyiwa ukaguzi na vipimo itakapohitajika. Ili uweze kupata suluhisho.
huo ushauri achananao mara mojaWhy mkuu
unda urafiki na mswaki angalau mara mbili au tatu kwa sikuJamani wataalam au mtu anayejua hili tatizo la Kujaa Kwa mate mdomo wakati wa kuamka asubuhi, tena haya mate Huwa yanatoa harufu mbaya mno, muda mwingine hata mchana tu nikilala sana, nikiamka tu nakuta mate yamejaa mdomon sijui shid ni nini.
Wataalam au wenye kujua hili tatizo jaman🙏