Tumbo lina matatizo.Jamani wataalam au mtu anayejua hili tatizo la Kujaa Kwa mate mdomo wakati wa kuamka asubuhi, tena haya mate Huwa yanatoa harufu mbaya mno,, mda mwingine hata mchana tu nikilala San, nikiamka tu nakuta mate yamejaa mdomon sijui shid ni nini.
Wataalam au wenye kujua hili tatizo jaman🙏
Kinywa hakitoi harufu! But Huwa inatokea wakat naamka tu ndio mate yanajaa mdomo yenye harufu mbaya. But Baada ya kuamka na kupiga mswaki mambo Huwa shwari kbsa shida ni wakt pale ninapoamkaSafisha kinywa,ulimi,kati ya meno walau mara 2/3 kwa siku
Kunywa maji
Tafuna karafuu/bigG
Ukitaka kulala weka ugoroJamani wataalam au mtu anayejua hili tatizo la Kujaa Kwa mate mdomo wakati wa kuamka asubuhi, tena haya mate Huwa yanatoa harufu mbaya mno, muda mwingine hata mchana tu nikilala sana, nikiamka tu nakuta mate yamejaa mdomon sijui shid ni nini.
Wataalam au wenye kujua hili tatizo jaman🙏
Chini ya ulimiMmh niweke kwenye nn mkuu
Naona unashauriwa ila unakaza shingoKinywa hakitoi harufu! But Huwa inatokea wakat naamka tu ndio mate yanajaa mdomo yenye harufu mbaya. But Baada ya kuamka na kupiga mswaki mambo Huwa shwari kbsa shida ni wakt pale ninapoamka
HapanaHukutumia dawa yoyote