Mate kujaa mdomoni, tena yenye harufu mbaya wakati wa kuamka asubuhi husababishwa na nini?

Jitahidi kuweka kinywa chako safi wakati wote
Asubuhi piga mswaki vizuri
Kila ukila hakikisha unasukutua mdomo kutoa mabaki ya chakula ambayo yanavutia bacteria na ndio wanaoleta barufu mbaya mdomoni
Na kabla ya kulala usiku piga mswaki vizuri
Hutojawa na mate asubuhi kama kinywa chako ni kisafi
 
Swaki kabla ya kulala utakuja kunidshukuru baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…