Kuna mama mmoja wa kiyahudi Hamas waliingia katika nyumba yake, huyu mama akawaambia nina watoto wawili, wale Hamas wakamuambia usijali, sisi ni waislamu hatutokudhuru, huyu mama akashangaa sana akiwa na wasi wasi, wale Hamas wakaketi nae na watoto wake kwenye dining room.
Kulikuwa na askari mmoja mwenye silaha akiwalinda wengine wakizunguka ndani kufanya ukaguzi.
Mwanamke huyo wa kiyahudi anaendelea kusema pale mezani kulikuwa na ndizi, yule mpiganaji mmoja akamuomba yule mama, "naweza kula ndizi moja?", Huyu mama akamjibu ndio.
Anasema walikaa hapo kwa masaa mawili na baadae wakaondoka na wakafunga mlango.
NB: Sizungumzii udini, na nimeandika taarifa kama huyo mama alivyosema.
Hawa Hamas ukisikiliza shuhuda za walio wengi, medias kuna vitu hawasemi lakini kiukweli sidhani kama hawa jamaa wana ugaidi kama inavyodaiwa, na hata kama wanafanya matukio hayo ni kwa sababu kuna jambo ambalo wanafanyiwa na wao wanalipiza.
Lakini pia ni nguvu ya media tu waliyonayo West, lakini gaidi wa kwanza duniani ni US mwenyewe, i can say that.
Tazama hii video.
View: https://www.youtube.com/watch?v=rD7NI0tGbp8