KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Tukiwa tunaona nakushuhudia nguvu kubwa Israeli kubomoa ukanda wa gaza wote kama inavyojinasibu kuwa ni operation lakini kwa wachambuzi wa kivita wanasema Israel inatafuta mateka wakiyahudi 253+ ambao walitekwa na Hamas!
Wakati huo Vyama vya upinzani na wananchi wa Israel wakiandamana kumtaka Netanyau ajiuzuru kwa kushindwa kuwarudisha wapendwa wao! Mbinyo unaotoka ndani ya Israel ni mkubwa ambapo Nettanyau anataka meza ya mazungumzo kwa Hamas lakini kwa sharti moja ili wakae nikwamba wawarudishe Mateka kwanza na wao ndo watakaa meza na kuzungumza! ila Hamas wanajua janja ya Netanyau wanasema tuanze mazungumzo kwanza uache vita urudishe wapalestna 2700! waliopo katika magereza ya Israel!
Israel inaonekana hataki lakini kwa hili atalazimika tu,maana mbinyo anaoupata kutoka nchini mwake ni mkubwa!. Swali langu endapo Hamas wasipo warudisha itakuwaje je hao mateka wapo hai je aiwezekani waliuwawa kwa kisasa baada ya israel kuua watu wengi uko Gaza? Je itakuwaje kama wasipoonekana??Tafakuri