inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Jewish state of Palestine,ndiyo Israel ilivyoanza kuitwa punde tu baada kupora ardhi ya PalestineKwani uhuru upi wa palestina kwani palestina ilishawahi kuwepo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jewish state of Palestine,ndiyo Israel ilivyoanza kuitwa punde tu baada kupora ardhi ya PalestineKwani uhuru upi wa palestina kwani palestina ilishawahi kuwepo?
Kwani uhuru upi wa palestina kwani palestina ilishawahi kuwepo?
Sidhani kama gharama za kudai uhuru unazifahamu.
Unafikiri uhuru unaletwa kwa soft ways soma historia za mataifa yote yanayo tikisa dunia juu ya mabadiliko yao yalikuwaje.
Matembezi ya hisani hayaleti mabadiliko yoyote hizo njia wanazo tumia Hamas ni sahihi kabisa sema tu wanakosa support zaidi kwa majirani zake.
Israel anapaswa atandikwe mpaka sebuleni mwake ili ajue machungu ya kuwa koloni wenzake.
Sasa sioni faida ya hamas kudai wafungwa 2700 kwa kuteka wayahudi 253 na kupelekea vita iliyoua wapalestina 30000 na kubomoa 50% ya nyumba za Gaza
Nakuhakikishia hizo kelele za Free Palestine zitaisha mara moja baada ya uchaguzi wa Marekani. Marekani kwa sasa inajiandaa na uchaguzi mwezi November, Rais Biden anazitaka na kura za Waislamu ndio maana anaipush Israel kuingia kwenye mazungumzo ya kusitisha mapigano. Baada ya uchaguzi wa Marekani, si Trump wala Biden atakayekuwa na nia ya kuipush Israel isitishe vita. Mark my words.Sasa hivi duniani kote Hadi marekani wanapush Palestine wapate taifa lao...acha Israel wabomoe majumba Ila Palestine wakipata taifa lao watakua wameshinda,Sasa hv Israel wanalazimisha Hilo taifa la Palestine lisiwe na jeshi
Umeamua utumie id nyingine badala ule ya mk 254Nakuhakikishia hizo kelele za Free Palestine zitaisha mara moja baada ya uchaguzi wa Marekani. Marekani kwa sasa inajiandaa na uchaguzi mwezi November, Rais Biden anazitaka na kura za Waislamu ndio maana anaipush Israel kuingia kwenye mazungumzo ya kusitisha mapigano. Baada ya uchaguzi wa Marekani, si Trump wala Biden atakayekuwa na nia ya kuipush Israel isitishe vita. Mark my words.
Katika hao wanaoliliwa waache dhulma na uonevu kwa Wapalestina nawewe umo!?Sasa kama mnajua uwamuzi wa hamas kudai uhuru ni sahihi mbona mnatulilia lia wapalestina wanateseka
Adui hana sababu!Wasipopatokana Israel wamesema hiyo vita itaendelea millele hadi watakapatikana hai au wamekufa
Na wamesema lazima wakabidhiwe kabla mfumgo wa Ramadhani kuanza mfungo ukianza hawajakabidhi watakachokifanya Dunia hadji kusahau.Kuwa hicho walichofanya cha mtoto
Vita haina faida nani kakwambia anatafuta faida vitani?Sasa sioni faida ya hamas kudai wafungwa 2700 kwa kuteka wayahudi 253 na kupelekea vita iliyoua wapalestina 30000 na kubomoa 50% ya nyumba za Gaza
Huna unaloelewa wewe.mbinu gani gani unaweza kutumia kudai uhuru wako zaidi ya vita? Toa mfano hapaaKudai ukitakacho kama ni haki yako ya kweli ni jambo jema.Lakini,mbinu zinatakiwa kuwa za akili nyingi bila kuumiza watu wako.Kudai chako siyo ufunguo wa kujiumiza au kuruhusu kuumizwa zaidi ya matarajio.
Inasikitisha sana,wanatangaza kufia katika kudai haki kwa kujitoa ufahamu kufa na wasiodaiwa hiyo hakiNa
Hongera akili kubwaKudai ukitakacho kama ni haki yako ya kweli ni jambo jema.Lakini,mbinu zinatakiwa kuwa za akili nyingi bila kuumiza watu wako.Kudai chako siyo ufunguo wa kujiumiza au kuruhusu kuumizwa zaidi ya matarajio.
Wewe ndiye unajua zaidi?Umepigana vita ngapi?Mshale tu unaonekana haujui kuu-shoot.Mifano gani unayotaka nikupe kwa maandishi?Huna unaloelewa wewe.mbinu gani gani unaweza kutumia kudai uhuru wako zaidi ya vita? Toa mfano hapaa
Unamdanganya umvimbishe mbichwa?Zama hizi mapambano ni akili nyingi.Hongera, umefanikiwa kuwajibu wote kwa wakati mmoja wale ambao wanahoji uamuzi wa Hamas kuingia vitani dhidi ya israel.
Sio kweli boss!Nimekubaliana na hoja yake ndio maana nimemuunga mkono.Unamdanganya umvimbishe mbichwa?Zama hizi mapambano ni akili nyingi.
Hilo sahau ...Kwanza Kuna dalili Gaza nayo ikaenda na majiHii vita inapelekea Taifa huru la Wapalestina kupatikana siku si nyingi zijazo !!!
Taifa Huru la wapalestina linapatikana kwa damu ya wapalestina !!
We kima sa hivi upo huru haya twambie Babu yako Nyerere alimwaga damu gani?Huna unaloelewa wewe.mbinu gani gani unaweza kutumia kudai uhuru wako zaidi ya vita? Toa mfano hapaa