Mateka wa kiyahudi wasipopatikana je Israel itafanya nini?? Je bado wapo hai?

Mateka wa kiyahudi wasipopatikana je Israel itafanya nini?? Je bado wapo hai?

Sidhani kama gharama za kudai uhuru unazifahamu.

Unafikiri uhuru unaletwa kwa soft ways soma historia za mataifa yote yanayo tikisa dunia juu ya mabadiliko yao yalikuwaje.

Matembezi ya hisani hayaleti mabadiliko yoyote hizo njia wanazo tumia Hamas ni sahihi kabisa sema tu wanakosa support zaidi kwa majirani zake.

Israel anapaswa atandikwe mpaka sebuleni mwake ili ajue machungu ya kuwa koloni wenzake.
Kwani uhuru upi wa palestina kwani palestina ilishawahi kuwepo?
 
Tukiwa tunaona nakushuhudia nguvu kubwa Israeli kubomoa ukanda wa gaza wote kama inavyojinasibu kuwa ni operation lakini kwa wachambuzi wa kivita wanasema Israel inatafuta mateka wakiyahudi 253+ ambao walitekwa na Hamas!

Wakati huo Vyama vya upinzani na wananchi wa Israel wakiandamana kumtaka Netanyau ajiuzuru kwa kushindwa kuwarudisha wapendwa wao! Mbinyo unaotoka ndani ya Israel ni mkubwa ambapo Nettanyau anataka meza ya mazungumzo kwa Hamas lakini kwa sharti moja ili wakae nikwamba wawarudishe Mateka kwanza na wao ndo watakaa meza na kuzungumza! ila Hamas wanajua janja ya Netanyau wanasema tuanze mazungumzo kwanza uache vita urudishe wapalestna 2700! waliopo katika magereza ya Israel!

Israel inaonekana hataki lakini kwa hili atalazimika tu,maana mbinyo anaoupata kutoka nchini mwake ni mkubwa!. Swali langu endapo Hamas wasipo warudisha itakuwaje je hao mateka wapo hai je aiwezekani waliuwawa kwa kisasa baada ya israel kuua watu wengi uko Gaza? Je itakuwaje kama wasipoonekana??Tafakuri
Aiseeee washauwawa hao na najiuliza tu waliwatekaje
 
Sasa sioni faida ya hamas kudai wafungwa 2700 kwa kuteka wayahudi 253 na kupelekea vita iliyoua wapalestina 30000 na kubomoa 50% ya nyumba za Gaza
Ni hesabu za kijinga kudai watu 2,700 kwa kupoteza uhai wa watu 30,000
 
Wewe unaakili kuliko hao wachina walizoona hizo mbinu zinafaa kwao ? Jibu swali
Hii vita inapelekea Taifa huru la Wapalestina kupatikana siku si nyingi zijazo !!!
Taifa Huru la wapalestina linapatikana kwa damu ya wapalestina !!
Palestina haitawahi kutokea tena mkianzisha vita israel ndio ana dhidi kuchukua maeneo
 
Makundi aina ya hamas yote ni akili ndogo sana. Jaribu kuangalia Taliban wanachofanya kwa wanawake wa Afghanistan,jaribu kuangalia Boko haram ilivyoteka wale watoto wa shule wa kike nakuwabaka kwa miaka,jaribu kufikiria huko Somalia jitu jinga la alshabab linaenda kujilipua sokoni huku linaimba Allahu akbar.
Inasikitisha sana,wanatangaza kufia katika kudai haki kwa kujitoa ufahamu kufa na wasiodaiwa hiyo haki.
 
Hii vita inapelekea Taifa huru la Wapalestina kupatikana siku si nyingi zijazo !!!
Taifa Huru la wapalestina linapatikana kwa damu ya wapalestina !!
Japo wanacho fanya Israel sio sahihi lakini hakuna siku wataruhusu taifa la kufikirika linaloitwa palestina kuundwa kwa sababu masharti ya kuundwa kwake Israel hawezi kukubali kwa namna yoyote ile, Amka kwenye huo usingizi usije ukaloeka godoro ni masika hii utakosa pa kuanika
 
Hasara wanayoipata Wapalestina ni kubwa kwa gharama ya ujinga wa Hamas.
Sasa hivi duniani kote Hadi marekani wanapush Palestine wapate taifa lao...acha Israel wabomoe majumba Ila Palestine wakipata taifa lao watakua wameshinda,Sasa hv Israel wanalazimisha Hilo taifa la Palestine lisiwe na jeshi
 
Japo wanacho fanya Israel sio sahihi lakini hakuna siku wataruhusu taifa la kufikirika linaloitwa palestina kuundwa kwa sababu masharti ya kuundwa kwake Israel hawezi kukubali kwa namna yoyote ile, Amka kwenye huo usingizi usije ukaloeka godoro ni masika hii utakosa pa kuanika
Marekani tu akisema Palestine iwepo basi inakuwepo,maana ndiye amlishae Israel
 
Back
Top Bottom