Mateka wa kiyahudi wasipopatikana je Israel itafanya nini?? Je bado wapo hai?

Kwani uhuru upi wa palestina kwani palestina ilishawahi kuwepo?
 
Aiseeee washauwawa hao na najiuliza tu waliwatekaje
 
Sasa sioni faida ya hamas kudai wafungwa 2700 kwa kuteka wayahudi 253 na kupelekea vita iliyoua wapalestina 30000 na kubomoa 50% ya nyumba za Gaza
Ni hesabu za kijinga kudai watu 2,700 kwa kupoteza uhai wa watu 30,000
 
Wewe unaakili kuliko hao wachina walizoona hizo mbinu zinafaa kwao ? Jibu swali
Hii vita inapelekea Taifa huru la Wapalestina kupatikana siku si nyingi zijazo !!!
Taifa Huru la wapalestina linapatikana kwa damu ya wapalestina !!
Palestina haitawahi kutokea tena mkianzisha vita israel ndio ana dhidi kuchukua maeneo
 
Inasikitisha sana,wanatangaza kufia katika kudai haki kwa kujitoa ufahamu kufa na wasiodaiwa hiyo haki.
 
Hii vita inapelekea Taifa huru la Wapalestina kupatikana siku si nyingi zijazo !!!
Taifa Huru la wapalestina linapatikana kwa damu ya wapalestina !!
Japo wanacho fanya Israel sio sahihi lakini hakuna siku wataruhusu taifa la kufikirika linaloitwa palestina kuundwa kwa sababu masharti ya kuundwa kwake Israel hawezi kukubali kwa namna yoyote ile, Amka kwenye huo usingizi usije ukaloeka godoro ni masika hii utakosa pa kuanika
 
Hasara wanayoipata Wapalestina ni kubwa kwa gharama ya ujinga wa Hamas.
Sasa hivi duniani kote Hadi marekani wanapush Palestine wapate taifa lao...acha Israel wabomoe majumba Ila Palestine wakipata taifa lao watakua wameshinda,Sasa hv Israel wanalazimisha Hilo taifa la Palestine lisiwe na jeshi
 
Marekani tu akisema Palestine iwepo basi inakuwepo,maana ndiye amlishae Israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…