Mateka wa kiyahudi wasipopatikana je Israel itafanya nini?? Je bado wapo hai?

Mbona tuliambiwa Israel ina intelijensia kali sana? Wanakwamaje kuwapata
 
Mbona tuliambiwa Israel ina intelijensia kali sana? Wanakwamaje kuwapata
Wameshajua walipo mbona
Waliwakimbizia nchi ya Qatar
Israel wametishia kuishambulia Qatar na Qatar yuko kwenye Mazungumzo na Raisi wa Ufaransa anayesimamia swala hilo ili kuwarudisha hao mateka kabla ya Ramadhani kuanza
 
Israel wametishia kuishambulia Qatar
Kwahiyo makomandoo wa taifa teule walishindwa kujua mateka wametoroshwaje ilihali wana intelijensia kali dunia nzima? Yaani mtu umeteka Gaza nzima hao mateka walitoroshwaje majasusi wateule wasijue?
 
Israel wametishia kuishambulia Qatar
Mbona tuliambiwa wanaokoaga mateka wao kwa kutumia makomandoo popote pale duniani, sasa kivipi mpaka wavamie nchi na mandege na mavifaru ili kuokoa mateka 200 tu!! Si makomandoo wa taifa teule 10 tu tuliambiwa wanatosha?
 
Labda huwajui wayahud. Hata Netanyahu akiachia kichapo kiko pale pale mkuu.
 
Hii vita inapelekea Taifa huru la Wapalestina kupatikana siku si nyingi zijazo !!!
Taifa Huru la wapalestina linapatikana kwa damu ya wapalestina !!
Akuna namna nyingine kabbisa
 
Mbona tuliambiwa wanaokoaga mateka wao kwa kutumia makomandoo popote pale duniani, sasa kivipi mpaka wavamie nchi na mandege na mavifaru ili kuokoa mateka 200 tu!! Si makomandoo wa taifa teule 10 tu tuliambiwa wanatosha?
Kwanza wanatoa tishio ndicho walichofanya kabla kutumia military operation
Sababu wao wana ugomvi na Hamas nchi ya Qatar imeamua kununua ugomvi ndio wanamwambia Qatar lete mateka wetu la sivyo tunalianzisha na wewe
 
Mateka wako Gaza humo humo subiri siku ya mabadilishano uone
 
Mbona tuliambiwa wanaokoaga mateka wao kwa kutumia makomandoo popote pale duniani, sasa kivipi mpaka wavamie nchi na mandege na mavifaru ili kuokoa mateka 200 tu!! Si makomandoo wa taifa teule 10 tu tuliambiwa wanatosha?
Zile ni movie kwanza fahamu myahudi hakuwa akijua kuwa kuna maandaki gaza nzima hivyo mpaka wanaibukia Israel wanaua watu wanateka wengine wanazama nao gaza myahudi aliishiwa pozi ndiyo maana kisasi nikuua watu hovyo na jamaa nahisi mateka wapo syria au Lebanon au hata Iran au walishauwawa zamani yote yanawezekana!!
 
Sasa hiyo ni ndoto ya alinacha ambayo kwa bahati mbaya haitatimia.
 
Na lazima iwe hivyo wasipokubali kuwa hivyo inapaswa ukoloni waukubali na yawe ndio maisha yao.

Hamas mbinu wanazo tumia ni sahihi kabisa inachohitajika ni support zaidi kwa majirani zake
Majirani zao wanajua hawawezi kukubali kuonja sumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…