Snowpiercer
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 2,358
- 4,263
Hao mateka wanaoachiwa nchi zao zimewapambania ndiyo maana unaona wanapewa kipaumbele, so far kila batch ya mateka walioachiwa na Hamas naona Irish hawakosekani umejiuliza why.
Leo kati ya walioachiwa mmoja wao ni wa Urusi na Hamas wameweka wazi ni kwasababu Putin ali intervene kwenye huo mgogoro.
Na ikumbukwe pia kila upande hutoa list ya mateka wake wanaopaswa kuachiwa kwa wakati huo, hapo tunaongelea mpaka ifike idadi ya 50 kwa 150 kwa siku nne na hatujui what's next after then.
Kama yu hai basi yuko kwenye foleni zamu yake itafika tumuombee uzima kwasababu kuna watu waliopotea kwenye huo mgogoro na maiti zao zinapatikana kila leo, nyingine zikihusishwa na uvamizi wa october 7 na nyingine vitani Gaza na wakati huo huo Hamas nao wanakwambia at least mateka 60 wamekufa kwa mashambulizi ya israel.