Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Nandio udume huo nikuulize itanisaidia nnWapiganaji wa Hamas walikua wanafagia fagia hawaulizi Utaifa watake kutana nae wanabeba
Hamas wamba kwel kwel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nandio udume huo nikuulize itanisaidia nnWapiganaji wa Hamas walikua wanafagia fagia hawaulizi Utaifa watake kutana nae wanabeba
Serikali yetu ina uzembe wa ajabu kabisa. Hawana uchungu kabisa na hawaguswi hata kidogo na usalama wa watu wao. Kazi yao ni kuifuja nchi tu.Serikali yetu ilitulia kimyaaa, nchi zingine wamepiga kelele na kuwasiliana na ubalozi wa palestina, wakaachiwa. umeona kama wale wa thailand ambao hata sio waislam ni wabudha, wameachiwa. Rais aongee tu na balozi wa Palestina, ambaye ndani ya serikali yake kuna hamas kama chama pinzani, wampigie tu Ismail Haniyah kule Qatar wanakofanyia mazungumzo kwamba awaachie watoto wa kitanzania. sijui kwanini serikali yetu huwa haijali sana raia wake kama nchi zingine, unajua nchi zingine raia wao akipata shida wanakuja chap kuangalia shida ni nini na namna ya kumwokoa.
Israel imeshasema katekwa na HamasIwapo kijana alipelekwa Israel na Tanzania.Iulizwe Israel yupo wapi ?
unasema kulikuw ana makosa kurejesha uhusiano na Israel, wakati huo huo karibia 40% ya Watanzania ni Wakristo wanaoenda kuhiji Israel kila mwaka na wanapata shida sana kupata visa, kwasababu kabla ya hapo ilikuwa lazima twende Nairobi kuomba visa. wakati huohuo, wapalestina wapo hapa, hawana faida yeyote kwetu, hawana msaada wowote hata ndugu zetu wakikamatwa, mataifa ya kiislam yameweka balozi zao hapa na ninyi mnaenda kuhiji maca bila shida. na unataka tusiwe na uhusiano na israel kwenye nchi ya wakristo wengi namna hii? unafikiri una akili za kutosha? hivi hii nchi mnadhani ni ya kwenu peke yenu? kwasababu Rais, waziri mkuu na viongozi wengi ni waislam basi unafikiri kila mtu anawachukia waisrael na hataki uhusiano na waisrael? unafikiri sisi tunaichukia israel? kwa taarifa yako hatuna muda na wapalestina kabisa.Kulikuwa na makosa katika kurejesha uhusiano na Israel na hili ni moja ya kosa kubwa alilofanya Magufuli.
Samia naye amefanya kosa kubwa kutoonesha hisia juu ya maumivu ya wapalestina.
Nadhani hii kutekwa kwa wawili tu ni kama uzindushi juu ya makosa yetu.
Raisi wa Cuba mwenyewe ameongoza maandamano na kupita mbele ya ubalozi wa Marekani kutoa hisia za nchi yake kwa madhila ya Palestina.Sisi tumebaki kupiga domo na kujipendekeza kwa dhalimu anayevunja majumba ya watu mpaka jirani na ofisi za PLO.
waziri wa mambo ya nje alipiga simu na yeye akapigwa changa la macho akatulia.
mimi binafsi nilikuwa siamini kwamba kuna siku hamas, pamoja na jeuri yote ile, wataiomba Qatar iombe cease fire wao wangetoa mateka. ukweli ni kwamba walikamatwa walibanwa na wengi sana wameuawa huko kwenye mahandaki ukiachilia raia. you are a failure bro.Takwimu za Israel baada ya kipigo cha Hamas haziaminiki na hazina mashiko kabisa.
Idadi yao wenyewe waliokufa na kujeruhiwa kila siku inabadilishwa.Kuna watu wengi waliosema wamekufa juzi wameachiwa huru.Na kwa bahati Hamas hawajawahi kutoa idadi halisi ya inaowashikilia.Tunchoona kila siku wanatoa watu kwenye mahandaki yao na hawasemi wamebakia wangapi.
Kwa hivyo idadi halisi ya watanzania waliotekwa au vyenginevyo tunaweza tusiifahamu kwa sasa
na rais alikuwa Sheikh Nyerere sio?Halafu kama sio waislam uhuru wa Tanganyika leo mpaka pengine lingalikuwa Koloni na UK
hv ndo dini ya utumwa imewafikisha huku , unaona sw ndugu yako kushikwa ? watu weusi sijui tulilogwa na nan , we mshike mpalestina mkristu uone watavyoungana bila kujali dini ila uku mmekuwa wehu wq dini za watu hamjijali wala kujithamini , mnawaona wao kama waume zenuUmejuaje kama sio muhusika je kama alikuwa ni muungaji mkono wa yanayo fanywa na Israel dhidi ya palestina kama baadhi ya warokole wa humu jf?
ukiitoa Sudan kusini ni vita ya kikabila na wapo dini mchanganyiko ila Drc wanachafuliwa na ADF kwa sasa islamic state ila huko Burundi , Angola na Rwanda hakuna vita ya kidini wala vita yenyewe kbsSudan ya kusini. Rwanda , Kongo , Angola, Burundi? Hizi umezisahau? Au Mwamposa hajakukaririsha?
jichunguze akili wewe , unashabikia ujinga , huez shabikia mtz mwenzio kushikwa mateka kwa vita isiyomuhusu , walimshika mtaani wala sio kwenye kambi ya jeshiSasa kama huyo mateka atakuwa amejaa chuki dhidi ya waisilamu kama ulivyo ww unategemea hao unao waita wavaa kobazi watamthamini kwa lipi?
kwann wamshike mateka ? ndo hoja yetu , je ni sw hii ?Hao mateka wanaoachiwa nchi zao zimewapambania ndiyo maana unaona wanapewa kipaumbele, so far kila batch ya mateka walioachiwa na Hamas naona Irish hawakosekani umejiuliza why.
Leo kati ya walioachiwa mmoja wao ni wa Urusi na Hamas wameweka wazi ni kwasababu Putin ali intervene kwenye huo mgogoro.
Na ikumbukwe pia kila upande hutoa list ya mateka wake wanaopaswa kuachiwa kwa wakati huo, hapo tunaongelea mpaka ifike idadi ya 50 kwa 150 kwa siku nne na hatujui what's next after then.
Kama yu hai basi yuko kwenye foleni zamu yake itafika tumuombee uzima kwasababu kuna watu waliopotea kwenye huo mgogoro na maiti zao zinapatikana kila leo, nyingine zikihusishwa na uvamizi wa october 7 na nyingine vitani Gaza na wakati huo huo Hamas nao wanakwambia at least mateka 60 wamekufa kwa mashambulizi ya israel.
tupe ushaidi , humu sio msikitin unalopoka tuKwani mkuu hujasikia kuwa kuna wachungaji wanachangisha michango kutoka kwa waumini kwa ajili ya kupeleka nchini Israel? Sasa unategemea wachungaji wa aina hiyo wakija kuingia mikononi mwa Hamas utakuja kuwaambia kuwa hawa husiki?
Alafu kingine inavyo onekana ni kuwa huyo mtz hayuko mikononi mwa Hamas.
jibu swale lake , kati ya muislam na mkristu nan anamchukia mwenzie?Ww hizo dhihaka unazo zifanya dhidi ya waisilamu sio chuki?
Kwa kuzingatia thread yako hii, inaweza kuhitimishwa kuwa Hamas ni magaidi.Kama inavyojulikana kuwa mateka wa nchi za nje huwa wanaachiwa tu kwa kushtukiz kwani Hamas hawakuwaingiza kwenye mashari yao ya kusitishwa vita,
Siku mbili za mwanzo wameachiwa waisrael wengi wao wakiwa ni akinamama na watoto.Pamoja nao walitolewa mateka kikundi kutoka Thailand.Katika orodha ya siku ya tatu yupo mateka wa Urusi ambaye Hamas wanasema wamemuachia baada ya raisi Putin kuwa na ukaribu nao.
Tanzania tunaweza tukawa tumejiuliza mbona mateka wetu,Mollel hajatolewa ?
Kwa namna ambavyo Hamas wamekuwa wakiwatoa mateka kwa kuzingatia maslahi ya pande zote lazima wizara ya mambo ya nje ya Palestina ilipata taarifa jinsi ambavyo Tanzania imeonekana kupuuza maslahi yao na kushindwa kulaani wazi wazi ukatili wa Israel kiasi kwamba jeshi la polisi la Tanzania lilipiga marufuku maandamano ya kuilaani Israel.
Naamini hatimae mateka huyo waliyebaki naye baada ya mwenzake kuuliwa na mabomu ya Israel atatolewa salama lakini kumuweka wa mwisho ni salamu kwa Tanzania kutokana na kubadili siasa zake katika miaka michache iliyopita.
Wewe unadhani kwenye ambush ya mateka kuna kuulizwa uraia, huo muda unatoka wapi? Kwa dunia ya sasa moja ya lengo la kushikilia mateka ni kuzi provoke nchi husika zilizoshikiliwa mateka wake against the opponent. Refer to South africa.kwann wamshike mateka ? ndo hoja yetu , je ni sw hii ?
Hivi si ni wewe alwaz, adiosamigo, malari 2, green sijuji nini na kimsboy ndio mnasheherekea mudi kumshikilia na kumbaka na kumua sasa unakuja kutuuliza ujinga wenu🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kama inavyojulikana kuwa mateka wa nchi za nje huwa wanaachiwa tu kwa kushtukiz kwani Hamas hawakuwaingiza kwenye mashari yao ya kusitishwa vita,
Siku mbili za mwanzo wameachiwa waisrael wengi wao wakiwa ni akinamama na watoto.Pamoja nao walitolewa mateka kikundi kutoka Thailand.Katika orodha ya siku ya tatu yupo mateka wa Urusi ambaye Hamas wanasema wamemuachia baada ya raisi Putin kuwa na ukaribu nao.
Tanzania tunaweza tukawa tumejiuliza mbona mateka wetu,Mollel hajatolewa ?
Kwa namna ambavyo Hamas wamekuwa wakiwatoa mateka kwa kuzingatia maslahi ya pande zote lazima wizara ya mambo ya nje ya Palestina ilipata taarifa jinsi ambavyo Tanzania imeonekana kupuuza maslahi yao na kushindwa kulaani wazi wazi ukatili wa Israel kiasi kwamba jeshi la polisi la Tanzania lilipiga marufuku maandamano ya kuilaani Israel.
Naamini hatimae mateka huyo waliyebaki naye baada ya mwenzake kuuliwa na mabomu ya Israel atatolewa salama lakini kumuweka wa mwisho ni salamu kwa Tanzania kutokana na kubadili siasa zake katika miaka michache iliyopita.