Clear37
Senior Member
- Oct 25, 2023
- 113
- 165
Israel wanatabia za ajabu sana,usikute hata huyo mtanzania aliyeuawa Israel inahusika,maana hawajatoa taarifa rasmi ameuwawa vipi na wapi,walituletea tu mwili basi wakapiga kimya!je mwili waliupata wapi?Kuna mambo yanafikirisha sanaWanaipelekea Israel michango? Au wanachangisha Ili waumini wao wakaione nchi ya ahadi ?