Mateka wa Tanzania kutoachiwa mapema kuna kosa tumefanya

Vipi kuhusu na hao waumini walio changa hizo hela?

Hata huyo aliye fariki, mwanzo tuliambiwa amekwa lakini badae ikaja kubainika kuwa aliuawa siku ya ambush sema mwili wake ulikuwa hauja tambuliwa.
Kama wanachanga kwa hiyari yao hakuna tatizo kabisa ni sawa tu na waarabu wa Jordan, Misri wanavyowachangia wapalestina.
 
Mollel hayupo kwenye list ya mateka wa hamas. Kamtafuteni huko kwenye vifusi
 
Nyie si rafiki wa HAMAS? Iwakilishe Taifa. Afrika Kusini pamoja na kelele zote, bado raia wao hawajatoka.
 
Kama wanachanga kwa hiyari yao hakuna tatizo kabisa ni sawa tu na waarabu wa Jordan, Misri wanavyowachangia wapalestina.
Wao wanadai kuwa wanaichangia Israel kwa ajili ya kupigana vita inayo endelea na sio kwa ajili ya miasaada ya kibinadamu kama wanavyo fanya hao ulio wataja.

Japo najua kuwa hiyo ni mbinu ya wachungaji kula jasho ya majitu mapumbavu yaliyo jazana ndani ya nchi hii, alafu kweli eti yanachanga.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Halafu kama sio waislam uhuru wa Tanganyika leo mpaka pengine lingalikuwa Koloni na UK

Kwani Kenya, Uganda kulikuwa na waislamu? Mbona zilipata uhuru, ingeshindikana nini kwa Tanzania? Waislamu? Wangeikomboa nchi hii kwa kupigana kwa marungu na bakora?
 
Google mapinduzi ya Zanzibar yalifanywa na nani? Hao waislamu orijino waarabu walikimbizwa Zanzibar. Kwanini?
Unafikiri tungebaki kuwa koloni la UK? Hii nchi ingepata uhuru tu
kwani Kenya ilipata uhuru kwa kuwepo kwa waislamu?

Au Uganda ilipata uhuru kwa waislamu wapi? Hawa wavaa kobazi kweli akili yao imeishia madrasa tu!
 
Tanganyika woga. Mwaka wa 40 mnadai katiba mpya kimya. Kenya mbona washaipata

Imetatua changamoto gani kule Kenya zaidi ya vurugu na maandamano yasiyo na kikomo! Hata shillingi yao inazidi kuporomoka kishenzi dhidi ya shilingi ya Tz.
 
Imetatua changamoto gani kule Kenya zaidi ya vurugu na maandamano yasiyo na kikomo! Hata shillingi yao inazidi kuporomoka kishenzi dhidi ya shilingi ya Tz.
Basi nyamezeni katiba iliopo safi
 
60 captives have been killed by Israel air strikes campaign in gaza since October 7.


Hakuna anayejuwa hao 60 captives ni wa inchi gani.

Tuvute subira.
 
Tatizo yule marehemu n huyo mateka aliyebakia sio waislam ndiyo maana hakuna mwenye uchungu huko kwa bi kizmkaz
 
Takwimu za Israel baada ya kipigo cha Hamas haziaminiki na hazina mashiko kabisa.
Idadi yao wenyewe waliokufa na kujeruhiwa kila siku inabadilishwa.Kuna watu wengi waliosema wamekufa juzi wameachiwa huru.Na kwa bahati Hamas hawajawahi kutoa idadi halisi ya inaowashikilia.Tunchoona kila siku wanatoa watu kwenye mahandaki yao na hawasemi wamebakia wangapi.
Kwa hivyo idadi halisi ya watanzania waliotekwa au vyenginevyo tunaweza tusiifahamu kwa sasa
 
Kulikuwa na makosa katika kurejesha uhusiano na Israel na hili ni moja ya kosa kubwa alilofanya Magufuli.
Samia naye amefanya kosa kubwa kutoonesha hisia juu ya maumivu ya wapalestina.
Nadhani hii kutekwa kwa wawili tu ni kama uzindushi juu ya makosa yetu.
Raisi wa Cuba mwenyewe ameongoza maandamano na kupita mbele ya ubalozi wa Marekani kutoa hisia za nchi yake kwa madhila ya Palestina.Sisi tumebaki kupiga domo na kujipendekeza kwa dhalimu anayevunja majumba ya watu mpaka jirani na ofisi za PLO.
waziri wa mambo ya nje alipiga simu na yeye akapigwa changa la macho akatulia.
 
Sasa kama huyo mateka atakuwa amejaa chuki dhidi ya waisilamu kama ulivyo ww unategemea hao unao waita wavaa kobazi watamthamini kwa lipi?
Si watakuwa wanazungumza nao na kuwahoji hiki na kile .Yeye pengine kila wakati amenuna kwa chuki
 
mwili wake uliokotwa Gaza, ambush ipi sasa?
Alipigwa na Israel kwa mabomu.Ule upigaji wa silaha nzito umeuwa na wapalesina 15000 na 6000 wapo chini ya vifusi.Sasa katika hali hiyo ukiokota mati Gaza nani itakuwa ndiye aliyemuua zaidi baina ya Hamas na Israel
 
Au Uganda ilipata uhuru kwa waislamu wapi? Hawa wavaa kobazi kweli akili yao imeishia madrasa tu!
Hujaambiwa kuwa waislamu ndio waleta uhuru kila sehemu duniani.Umeambiwa uhuru wa Tanzania umeletwa na waislamu na hilo liko wazi soma historia halisi ya kupigania uhuru.
Uganda na Kenya na kwengineko kila moja kuna nguzu zilizosaidia kupatika uhuru wao.
 
u have a point
 
Wapiganaji wa Hamas walikua wanafagia fagia hawaulizi Utaifa watake kutana nae wanabeba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…