Mateka wa Tanzania kutoachiwa mapema kuna kosa tumefanya

Kipara akiwa mahali tegemea blunders tu.
 
Serikali yetu ina uzembe wa ajabu kabisa. Hawana uchungu kabisa na hawaguswi hata kidogo na usalama wa watu wao. Kazi yao ni kuifuja nchi tu.

Umenikumbusha wanavyositisha zoezi la uokozi kwenye majanga kwa sababu ya giza kwa maelezo (ya kipumbav.u) kuwa zoezi la uokozi (si uopozi!) litaendelea kesho!

Nahisi huko juu kuna vichwa vingi vina mtindio wa ubongo kabisa. Wachache walio na afadhali wanazidiwa na mzigo wa majukukumu. Labda lakini, maana huenda hata ni wote!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kwa sababu tu mtu ukishapata kitu, hukumbuki tena waliokusaidia kukipata Lakini, mchango wa waislam kwa uhuru wa Watanganyika, siyo kitu cha kubeza wala kusahaulika. Hawa wenzetu hawa walijitolea kwa hali na mali ili tu Mtanganyika apate uhuru. Tuukubali na kuheshimu mchango wao.
 
unasema kulikuw ana makosa kurejesha uhusiano na Israel, wakati huo huo karibia 40% ya Watanzania ni Wakristo wanaoenda kuhiji Israel kila mwaka na wanapata shida sana kupata visa, kwasababu kabla ya hapo ilikuwa lazima twende Nairobi kuomba visa. wakati huohuo, wapalestina wapo hapa, hawana faida yeyote kwetu, hawana msaada wowote hata ndugu zetu wakikamatwa, mataifa ya kiislam yameweka balozi zao hapa na ninyi mnaenda kuhiji maca bila shida. na unataka tusiwe na uhusiano na israel kwenye nchi ya wakristo wengi namna hii? unafikiri una akili za kutosha? hivi hii nchi mnadhani ni ya kwenu peke yenu? kwasababu Rais, waziri mkuu na viongozi wengi ni waislam basi unafikiri kila mtu anawachukia waisrael na hataki uhusiano na waisrael? unafikiri sisi tunaichukia israel? kwa taarifa yako hatuna muda na wapalestina kabisa.

uhusiano wa nchi sio suala la waislam kuchagua tuwe na uhusiano na nchi gani. na viongozi waliopo wanapoamua kuwa na uhusiano na nchi kama Israel hawafanyi kwa interest zao, kwa mapendeleo yao, wanafanya badala ya wananchi, na sisi wakristo tunahitaji viongozi wetu waendeleze tena sana uhusiano na nchi ya Israel, kama vile walivyoleta ubalozi wa palestina hapa ambayo hata sio nchi basi na Israel tunaihitaji. Nyerere alisitisha uhusiano na Israel sio kwasababu alipenda, alifanya vile ili kuwafurahisha mashehe ambao walimsaidia kupambania uhuru, wao hawakuipenda israel, pia alikuwa na ugonjwa kichwani mwake wa kufikiri Israel utaifananisha na apartheid ya south africa, jambo ambalo ni vitu viwili tofauti. mshindwe kwa Jina la Yesu, na mtakapowaambia viongozi wenu kufuta uhusiano na Israel jueni kuwa mnavuruga amani na mshikamano wa nchi hii. Kama Misri ambaye amepigana vita sana na Israel ana ubalozi, wewe mjinga mmoja masikini wa mbagala una nini ili usiwe na uhusiano na Israel?
 
mimi binafsi nilikuwa siamini kwamba kuna siku hamas, pamoja na jeuri yote ile, wataiomba Qatar iombe cease fire wao wangetoa mateka. ukweli ni kwamba walikamatwa walibanwa na wengi sana wameuawa huko kwenye mahandaki ukiachilia raia. you are a failure bro.
 
Umejuaje kama sio muhusika je kama alikuwa ni muungaji mkono wa yanayo fanywa na Israel dhidi ya palestina kama baadhi ya warokole wa humu jf?
hv ndo dini ya utumwa imewafikisha huku , unaona sw ndugu yako kushikwa ? watu weusi sijui tulilogwa na nan , we mshike mpalestina mkristu uone watavyoungana bila kujali dini ila uku mmekuwa wehu wq dini za watu hamjijali wala kujithamini , mnawaona wao kama waume zenu
 
Sudan ya kusini. Rwanda , Kongo , Angola, Burundi? Hizi umezisahau? Au Mwamposa hajakukaririsha?
ukiitoa Sudan kusini ni vita ya kikabila na wapo dini mchanganyiko ila Drc wanachafuliwa na ADF kwa sasa islamic state ila huko Burundi , Angola na Rwanda hakuna vita ya kidini wala vita yenyewe kbs
 
Sasa kama huyo mateka atakuwa amejaa chuki dhidi ya waisilamu kama ulivyo ww unategemea hao unao waita wavaa kobazi watamthamini kwa lipi?
jichunguze akili wewe , unashabikia ujinga , huez shabikia mtz mwenzio kushikwa mateka kwa vita isiyomuhusu , walimshika mtaani wala sio kwenye kambi ya jeshi
 
kwann wamshike mateka ? ndo hoja yetu , je ni sw hii ?
 
tupe ushaidi , humu sio msikitin unalopoka tu
 
Kwa kuzingatia thread yako hii, inaweza kuhitimishwa kuwa Hamas ni magaidi.
 
kwann wamshike mateka ? ndo hoja yetu , je ni sw hii ?
Wewe unadhani kwenye ambush ya mateka kuna kuulizwa uraia, huo muda unatoka wapi? Kwa dunia ya sasa moja ya lengo la kushikilia mateka ni kuzi provoke nchi husika zilizoshikiliwa mateka wake against the opponent. Refer to South africa.
 
Hivi si ni wewe alwaz, adiosamigo, malari 2, green sijuji nini na kimsboy ndio mnasheherekea mudi kumshikilia na kumbaka na kumua sasa unakuja kutuuliza ujinga wenu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hapa tujiandae kisaikolojia mapema ,kama yule tuliezika jana.
 
Ngoja tuoe, mambo ya serikali ndivyo yalivyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…