Mateka Waliotekwa na HAMAS waanza kuokolewa rasmi

Haya wale mashabiki wa magaidi mliosema oooh israel haina lolote ni propaganda hata ile operation ya entebe sasa imeokoa mateka 4 wakiwa hai
Baada ya miezi nane,jeshi Bora na idara Bora kuliko zote za ujasusi
 
Yaani hyo taarifa umekaa chumbani ushapga nyet.. ukaamua kujitungia uzi utujazie seva yaani hakuna chombo chochote duniani kilichoandika hyo taarifa umeamua tu kuwafariji walokole wenzako baada ya kuona north hezbollah wanawatoa💩💩 ukaona mjipoze machungu na uongo
 
Mchizi huyu walimuua Ila Noa itakua kachezea sana rungu chezea sana atasimulia Mimba ina Miezi mingapi
Mkuu sidhani. Kati ya vitu nawasifia magaidi ya Hamas ikifika swala ya ufuksa hawana hilo majamaa hawajawabaka hata kuwanyanyasa kijinsia mateka wateule wayahudi. Hata mateka wa kike wamesema.

Ingekuwa boko haram alshabab ama yale ya msumbiji yangewatembezea miti balaa na kuwaoa.

Nadhani Hamas ni kuogopa utukufu na uteule wao.
 

Mimi nilijua mlishawatafuna, yaani waislamu bana, kwenu mumekufa karibu 40,000 na mlikua mnaishi na mateka ndani muda wote huu.
 
Hao wa Somalia na Msumbiji ni zamu yako ukawaokoe na umalize mauaji.It's your turn,buddy!
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya Chai
 
Hii ilitakiwa iwe breaking news kabisa
 
Nyuzi za kuokolewa mateka zipo nne,haziungwi Wala kufutwa,zinakidhi matakwa/agenda za jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…