Mateso wanayopata Waafrika Uarabuni hasa nchi za Saudi Arabia na Oman

Kweli kabisa, na hilo litawapa wasaa wa kuamua kama wapo comfortable kuendelea na kazi au warudi nyumbani, maana nasikia wengine wananyang'anywa hadi pasipoti, Kuna kipindi nilisafiri na binti mmoja wa kighana alikuwa akitokea huko uarabuni kwenye kazi za ndani alikuwa analalamikia sana hii ishu ya ubaguzi hasa kwa watu weusi, labda treatment ya wafilipino na wahindi ina unafuu kiasi
 
Unafuu wao baina ya wafilipino na waafrika ni kuwa Philippine walikataa kuwapeleka watu wao baada ya kuuwawa wengi na wengine kupewa mimba na waliowaleta na kuwageuzia kibao kuwa walipata mimba nje
Kesi zilikuwa nyingi sana ila nazikumbuka kesi mbili wakati nikiwa huko
Mfilipino alikuwa anateswa sana na passport alinyang'anywa huku akiwa amemuacha kichanga Kwao
Mke wa mwenye nyumba alikuwa anampiga sana na kila akiomba ruhusa likizo hapewi alichowafanyia mkuu ni balaaa
Mwingine nae alisukumwa kutoka juu na kuvunjika vunjika na kusafirishwa juu


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 

wanacho nifurahisha watanzania wanao kwenda uko wakidanganywa na kivuli cha dini kuwa wanyenyekevu ndo unaona wanatuona kama mabwege,njo nchi nyengine uone watanzania walivo makatili hata wazawa wenyewe wanavo waogopa.huko dini ndiyo inawapumbaza
 
Hii video huwenda ikawa in acting,sio ya kweli,kwa sababu haiwezekani,huyu mtu apigwe,kusiwe na alama ya aina yoyote mwilini.Halafu mlio unaotoka sio mlio wa mwili unaopigwa,ni mlio wa kama kitu kinapigwa,vile vile mlio wa sauti ya anayelia sio huyo anayepigwa,kwa sababu anayepigwa,amefunikwa mdomo,utokaji wa sauti wa aliyezibwa mdomo uko tofauti.Suruali aliyovyaa mpigaji ni ya kihindi sio ya kiarabu.Au huwenda ni kudhulumiana katika biashara ya madawa ya kulevya,huko kwa wahindi,mwarabu hawezi kuweka mfanyakazi mwanamme kwake nyumbani.
 
Hii inaonyesha wazi ,ni mambo ya kudhulumiana madawa ya kulevya,kama sio acting.Mavazi ya mpigaji ni ya kihindi sio ya kiarabu,halafu mwarabu hawezi kuajiri mwanamme nyumbani kwake,awe mfanyakazi wa ndani,huu uzi ni uongo mtupu,bora upuuzwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Huyo kijana obvi ana nguvu kuliko huyo mzee c bora uue tu ukake jela kuliko mifimbo ya kila siku hiyo??
So lazima uue mjeruhi tu ukafungwe jela hata miaka mitatu urudishwe kwenu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta uzi, muogope Mungu,kwa kusema uongo,hakuna muarabu anayeajiri nyumbani kwake mwanamme.Halafu pia 78%,ya wenyeji wa Oman,ni waTanzania,waliozaliwa Tanzania,Burundi,Rwanda,na ndio wengi wanaochukuwa wafanyakazi kutoka Afrika mashariki,na kule nchini Oman,wanajulikana ni waswahili au Mzanzibari,hata awe na rangi gani.Na kiswahili kinazungumzwa Omani utafikiri uko Tanzania.Kwa hiyo akitokea mtu kumtesa mfanyakazi,huyo atakuwa mjinga wa akili,kwa sababu anamtesa ndugu yake,kwasababu wengi walioko Oman ni damu mchamganyiko na makabila mbalimbali ya Tanzania,Rwanda,Burundi nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Huna kwenu ? , kijiji chenu kina mahekta ya shamba,nchi yako ina aman
Kwa hao wabaguz mnafata nini. Babu zetu waliwafanywa watumwa,nyie mnawafuata kwao huko huko.Black Americans hadi leo hawana raha U.S.A
Nyumban n nyumban africans,Nyumban n nyumban blacks.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
M'Kikwajuni,no wonder.
Okay,let's forget about this video clip. Tuongelee tu hali ya mateso wanayokutana nayo wafanyakazi wa Kiafrika huko Oman na nchi nyingine za Uarabuni, kwanini unadhani majority ya Waarabu wana tabia za kinyama na kutesa watu wenye asili ya Kiafrika mpaka inasababisa linakuwa ni janga la kimataifa?
 
Haya Mwarabu mwingine huyu wa Kikwajuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

HII MADA YAKO NI YA UONGO NA UDINI HAKUNA MWAFRICA MTANZANIA ANAEUWAWA OMAN AU SAUDI ARABIA, HIVI WEWE KWA AKILI YAKO UMEIONA SERIKALI YA TANZANIA WAMELALA KWELI WATANZANIA WAULIWE WAKAE KIMYA HIVI UNA USHAHIDI KAMA UNAO TAFADHALI FIKA BALOZI YA OMAN NA SAUDI ARABIA ZIPO COCO BEACH WASILISHA RIPOTI YAKO
 
Mwarabu ndo mtu mkatili zaidi Duniani kwa sasa! Mwarabu ni mwarabu tu awe mkristo au muislam bado ni mwarabu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

WEWE HUMUWEZI MWARABU HATA USEME MPAKA UNYE MWARABU KATIKA ULIMWENGU YUPO TOP KWA KILA KITU BILA MAFUTA YA MWARABU WEWE USINGEPATA UGALI KWA MAMA LISHE NA KUPAYUKA HAPA WAMERIKANI WANATEGEMEA MAFUTA YA MWARABU KAA UKIJUA HUTAMUWEZA MWARABU ISHIA HUMU HUMU KUPAYUKA
 
Hii video ni ya kudhulimiana, sio ya mtu Na mfanyakazi wake,na anayepiga ni muhindi kulingana na mavazi,muonekano na mpaka nywele.Muarabu haweki mfanyakazi wa kiume nyumbani kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hutu mleta mda ni Muongo,hakuna ukweli hapo.Huyo anayepiga sio muarabu,kuanzia mavazi,muonekano,na nywele zake,huyo ni muhindi,huwenda ni acting au mambo ya kudhulumiana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu twende taratibu bila ya jazba. Mmerakani ameingiaje hapa, hii issue inahusu Waafrika na Waarabu. Hili suala la mafuta limetokea wapi? hapa tunazungumzia mateso wapatayo wafanyakazi wa Kiafrika huko Uarabuni. Kwanza USA ina reserve ya mafuta mengi tu na wala hawayatumii yamehifadhiwa kama akiba na pili mafuta si kitu pekee cha kujivunia kwani hata Venezuela wanayo japo mikate ni bidhaa wanayoisafiria nchi za jirani kwani kwao haipatikani.
Haijalishi kama wewe ni Muarabu au unawaamini sana kwa sababu za kiimani lakini linapokuja suala la mijadala jaribu kujikita kwenye mada husika.
It's just an advice, take it or leave it.
 
Ukitaka kumuuzi mbongo mkataze kwenda huko,nilitukanwa,kusemwa vibaya ndagu kisa nilishauli ndugu yetu asiende,nanikajaribu kuwaonyesha na picha kutoka huko lakini wapi, mtoto wakike kafikia steji yakunitukana ,nikanyoosha mikono juu,yaliotokea sasa huko, miezi 18 ya mwanzo ilikuwa powa kivumbi miezi 6 ya mwisho kimkataba, huzuni iliopo hapo home kwa mama yake haisimuliki,binafsi naumia ila huyo wakala mimi mwenyewe simjui mana mwanzo nilionekana mchuro, nabaki kuangalia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaha..wewe jamaa noma mwarabu yuko juu ulimwenguni!? kwanza mwarabu hana akili ya kufanya exploration wala kudevelop technology ya kuchimba hayo mafuta. Mwarabu angejaliwa akili kama mzungu au myahudi huenda hali ingekuwa mbaya zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…