Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,191
- 3,360
Hii ishu ya wafanyakazi wa ndani kuteswa Uarabuni naliona sana, nadhani huu ni uzi wa 5 hivi kuuona hapa JF, inamaanisha wengi wanateswa sana (japo wapo wanaotendewa wema pia)Mkuu hata middle east kuna fursa nyingi tu, tatizo ni kuangukia kwa boss wa aina gani.
Kuna watu wametoka huku wako huko lakini ukiwaeleza kuhusu haya mambo wataona kama vile unawasingizia wavaa kanzu.
Ni sawa tu na mtu ambae yupo kijijini analetewa mjini kuja kufanya kazi, wengine huangukia kwa mabosi wapole na wakarimu hivyo maisha kwao yanakua poa, ila kuna wale wanaoangukia kwa mabosi ambao ni makatili kama wanyama hapo ndipo majuto huanza.
Yote kwa yote mabalozi wetu katika nchi nyingi wanazopelekwa hua hawaendi kufanya kazi walizotumwa zaidi wao ni kula bata tu.
Maendeleo hayana chama
Kuna makala nyingi sana,uzi nyingi sana hapa JF, hadi Bungeni kumekuwa na mjadalw kuhusu wafanyakazi wanaoteswa huko Uarabuni. Wewe utakuwa Muislam ndio maana ukiona Muarabu akisemwa kwa baya lazima umtetee kwa nguvu zote,HII MADA YAKO NI YA UONGO NA UDINI HAKUNA MWAFRICA MTANZANIA ANAEUWAWA OMAN AU SAUDI ARABIA, HIVI WEWE KWA AKILI YAKO UMEIONA SERIKALI YA TANZANIA WAMELALA KWELI WATANZANIA WAULIWE WAKAE KIMYA HIVI UNA USHAHIDI KAMA UNAO TAFADHALI FIKA BALOZI YA OMAN NA SAUDI ARABIA ZIPO COCO BEACH WASILISHA RIPOTI YAKO
Balozi zenyewe zipo kwa ajili ya kuomba msaada sijui uwekezaji, lazima zidharaulike tu,Nilipata kuzumgumza na kiongozi mmoja mwenye dhamana na masuala haya akasema tatizo watanzania waliopo huko hawana mikataba suala linalopelekea kutotambulika uwepo wao mahali hapo
Anadai wengi wanaingia kinyemela wakipata matatizo ndio wanaujua ubalozi suala ambalo linauwia vigumu ubalozi kushughulikia masuala hayo kidiplomasia
Upande wa pili watz waishio huko wanasema si kweli mikataba wanayo na uwepo wao unatambulika na ubalozi isipokuwa tu balozi hazina meno huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini hali ingekuwa mbaya zaidi?hahaha..wewe jamaa noma mwarabu yuko juu ulimwenguni!? kwanza mwarabu hana akili ya kufanya exploration wala kudevelop technology ya kuchimba hayo mafuta. Mwarabu angejaliwa akili kama mzungu au myahudi huenda hali ingekuwa mbaya zaidi
Asilimia 75 ya wanzanzibar inaingiliana na wa oman.So ni ndugu.Na wewe ni mmoja ya mwarabu mwenye asili ya oman na Zanzibar.Pia baadhi ya maeneo Oman wanazungumza kiswahili safi kabisa.So usijifanye na wewe ni mmoja kati ya watanzania wakati mnawatesa na kuwaua ndugu zenu.HII MADA YAKO NI YA UONGO NA UDINI HAKUNA MWAFRICA MTANZANIA ANAEUWAWA OMAN AU SAUDI ARABIA, HIVI WEWE KWA AKILI YAKO UMEIONA SERIKALI YA TANZANIA WAMELALA KWELI WATANZANIA WAULIWE WAKAE KIMYA HIVI UNA USHAHIDI KAMA UNAO TAFADHALI FIKA BALOZI YA OMAN NA SAUDI ARABIA ZIPO COCO BEACH WASILISHA RIPOTI YAKO
We jamaa ni bonge la fala.Hapa tunaongelea mateso wanayopata raia wetu ughaibuni haswa mashariki ya kati wewe unaleta habari za mafuta.Hata kama huyo anaeadhibu sio mwarabu ila ukweli utabaki kuwa waarabu na wahindi wanaongoza kwa ukatili.POPOMA WEWEWEWE HUMUWEZI MWARABU HATA USEME MPAKA UNYE MWARABU KATIKA ULIMWENGU YUPO TOP KWA KILA KITU BILA MAFUTA YA MWARABU WEWE USINGEPATA UGALI KWA MAMA LISHE NA KUPAYUKA HAPA WAMERIKANI WANATEGEMEA MAFUTA YA MWARABU KAA UKIJUA HUTAMUWEZA MWARABU ISHIA HUMU HUMU KUPAYUKA
Aha haaa haa[emoji16][emoji16]...mbavu zangu mkuu!Dunia hii ina maajabu sana
Wahindi huko Africa wanatamba kiasi anaweza hata kukufunga kwa nguvu ya hela
Lakini najua hali zao pia huko uarabuni ambapo kazi zao ni za ndani na kusafisha vyombo na kukata garden yaani the worst jobs ndio wanafanya na makofi juu
I was there for many years na nimeshuhudia wakitumiminia kahawa huku wamesimama for hours (wakome)
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
NaamBalozi zenyewe zipo kwa ajili ya kuomba msaada sijui uwekezaji, lazima zidharaulike tu,
I swear, nilikuwa na marafiki zangu wengi ambao nikikaa nao utasikia weeee mimina kahawa na kama unajua kikombe ni kidogo sana kwa hiyo x4 tu kwisha.Aha haaa haa[emoji16][emoji16]...mbavu zangu mkuu!
Huku wana.mashauzi hao balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha..wewe jamaa noma mwarabu yuko juu ulimwenguni!? kwanza mwarabu hana akili ya kufanya exploration wala kudevelop technology ya kuchimba hayo mafuta. Mwarabu angejaliwa akili kama mzungu au myahudi huenda hali ingekuwa mbaya zaidi
[/QUOT
Kweli lugha hiyo sio kiarabuJamani hiyo ni pakistan huyo kaekwa bond watu hawajapeleka hela za watu za sembe ndio wamefanya hivyo ili hao waliopewa sembe wapeleke hela zao
Acha uongo ...Hao ni Wazanzibari acha wapate tabu huko. Akipona hapo utasikia hii ni thawabu kuteswa na Mwarabu. Hii mijamaa inamwona Mwarabu kama ni nusu Mungu. Naishia hapa japo yapo Mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana ...