Mateso wanayopata Waafrika Uarabuni hasa nchi za Saudi Arabia na Oman

Unadanganywa na kudanganyika,huyo sio muarabu,mavazi yanaonyesha wazi sio ya kiarabu,hayo ni mavazi ya kihindi.Huyo itakuwa wamedhulumiana kwenye biashara ya madawa ya kulevya,wacha watandikeni,wanaharibu vijana wengi,kwa biashara zao hizo.Hakuna nchi ya kiarabu inayolima madawa ya kulevya,ni nchi za whindi ndio wanalima madawa ya kulevya.
Yaani huyu Mwarabu hapo ikipigwa adhana atatoka nduki kuwahi swalaa! Hahahaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mue mnatoa information za kweli sio unakurupuka bila tafiti hata ya sauti au lugha na kurukia eti waarabu, huo ni ujinga au kutokusoma wewe unaangalia rangi tu na kulopoka eti waarabu unataja na nchi bila ushahidi wowote ule, kwa taarifa hao sio waarabu kwenye clip, tena midume arabuni hua haiteswi, ungenambia wafanya kazi wa ndani labda nao huteswa kwa yale mambo yao ya kike kike yanayozoeleka kila kona na kwa sababu maalumu, kama umalaya, viburi, uvivu, wizi, umbea mambo yaliozoeleka huku nyumbani.
 
wacha wapigwe tu wajinga hao na ma njaa njaa yao, una wafuata kwao wacha waku file

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwamba unaroho ngumu km unaishi jehanamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah!
 
Mimi hata siwahurumii ,kila siku wanakatazwa lakini hawasikii,eti kwa vile wote dini moja na wanazungumza lugha moja ndio wanajipeleka, acha wakomeshwe tu
 
Kuna mahali pameandikwa kuhusu Madawa ya kulevya hapa?
 
Mtu wa ajabu sana wewe. Kwahiyo kwakuwa waafrika kusini wanauwa waafrika wenzao na wamarekani weusi wanauwana tusikemee mauwaji ya waafrika au muwaji yoyote yale. Xenophobia ya SA mbona tunaipigia kelele sana kila siku wewe huwa unakuwa wapi. Eti usiwaseme vibaya waarabu...

Na hao wanaong'ania kwenda kufanya kazi huko hawaoni sehemu zingine za kufanya kazi

 
Hao ni Wazanzibari acha wapate tabu huko. Akipona hapo utasikia hii ni thawabu kuteswa na Mwarabu. Hii mijamaa inamwona Mwarabu kama ni nusu Mungu. Naishia hapa japo yapo Mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaliopo ndani ya moyo wa mtu hudhihirishwa mdomoni mwake, ila kwa vile hapa watu wanatumia maandishi nawe umewasilisha yaliopo moyoni mwako. Mkuu wanzanzibari ni Watanzania wenzetu au hata wasingekua Watanzania basi bado ni binaadam kama binaadam wengine, by the way walikufanya nini hadi ukawachukia kiasi hichi?
 
HII NDIO SABABU WHY WAZANZIBAR WANAUKATAA UDUGU HUU WAKINAFIKI NYOYO ZA WATANGANYIKA WENGI WAO NI MBAYA SANA KWA WAZANZIBAR KWAO WAO BORA HATA WANYARUWANDA WA KINGO NK KULIKO WAZANZIBAR CHOYO HUSDA CHUKI ROHO MBAYA HIZI NI SIFA ZA WATANGANYIKA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siungi mkono ila kama maigizo vile au nimeona vibaya.
 
Ivi huwa siwaelewagi hawa waarabu na dini Yao ya Kiislam ivi inawafundisha nini. Wanasemaga Wazungu ni racists nikuhakikishie Jamani waarabu na Wahindi ndio wanaongoza Kwa racism. Ni rahisi mzungu kuoana na mwafrika lakini sio waarabu au Wahindi. Ivi dini zao huwa sizielewagi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…