Kwani binadamu anashindwa..?mkuu Ile mathematics iliyotumika kukata mawe Kwa kuyashape na zile Kona za Pyramids hupati shaka ya kwamba Ile sio kawaida
Pia Mathematics iliyotumika kuzijenga Parallel kuanzia Mesopotamia,Misri na Mexico,konakry,mstari Mmoja
Ile sio kawaida mkuu!
Binadamu atawezaje kutengeneza kitu kilichomzidi maarifa?Kwani binadamu anashindwa..?
Na Kama unaamini sio uweza wa binadamu kuunda hayo ma pyramids unafikiri Nini kilikosekana mpaka hao viumbe wasiwepo tena kati yetu..?
Kwahiyo alikuwa na maana yake..? Okay sijui kiundani zaidi lakini turudi kwenye namba Kama namba achana na Nikola je kwa fikra zako mathe inaweza kutufungulia siri za ulimwengu..?
Kazi ya hizo pyramids ilikuwa ni nini..?Binadamu atawezaje kutengeneza kitu kilichomzidi maarifa?
Ile science zama za Leo Leo Bado imewashinda Labda waendelee kutafiti huku mbeleni mkuu,
Zile Pyramids Kwa Nje zipo simple sana ila ukiingia ndani ya bunkers Kule ndani muundo wake Bado una utata Kwa Engineer wa Leo yaani Kila wakipiga hesabu kuona formula wanakwama zinakataa kabisa maana zile angles sio za kawaida,
Kuhusu wajenzi wa zile washaondoka Miaka mingi sana huko nyuma na hawakuacha
Tunaona Kazi zao Bado zipo ila zile walijenga Binadamu wa kawaida zilishazikwa Ndio kwanza watafiti wanachimba ardhini Ndio kugundua miji ya kale ambayo ilijengwa zama ambazo Pyramids zilikua zimeexist Miaka maelfu kabla Yao
Kila kitu kinapita ila Yale madude yamesimama vile vile hayana hata dalili ya kupata ufa what a great Technology!
Electric power Plants,to supply power to Gold mining process!Kazi ya hizo pyramids ilikuwa ni nini..?
Je, Wewe umesahau kuwa elimu zote zenye manufaa zimetoka kwa Allah.??!!
Electric power Plants,to supply power to Gold mining process!
Gold from Earth to Nibiru/planet X for covering atmosphere sababu sayari Yao iliharibiwa na mionzi ya Nuclear baada ya kupigana vita ya kugombania madaraka iliyopelekea kuharibika Kwa anga lao,Umetisha mkuu ila tatizo ni wapi walipokuwa wanapeleka izo gold?
Bwana yesu hesabu zilimshinda akaishia kukongomekwa na warumi kwenye msalabaNi kweli kabisa. Ukitaka kufahamu hesabu vizuri kabisa, mwombe Bwana Yesu awe mwalimu utafahamu hesabu zote hata za Ellien.
Gold from Earth to Nibiru/planet X for covering atmosphere sababu sayari Yao iliharibiwa na mionzi ya Nuclear baada ya kupigana vita ya kugombania madaraka iliyopelekea kuharibika Kwa anga lao,
Ndio mission ya kuja duniani ilianza na imerekodiwa na Sumerians tablets ya Kwamba walikuja na Spaceships zaidi ya miaka laki Tano BCE huko nyuma
Na ushahidi upo Dunia nzima Kuanzia Mesopotamia,Misri,Indus valley mpaka Mesomerica kuonesha uwepo wao hapo kale!
Funguo ya ulimwenguni juu ya kitu gani??, nadhani concept yake kuhusu hizo namba bado ni ambiguous kwani mtu anaweza kuuliza kwa nini siri ya funguo hizo isiwe namba 0 au namba 8 au namba zinginezo??!!, hizo namba 3,6 na 9 kazipanga katika mfumo huu; 3×1, 3×2, na 3×3. Sasa kimahesabu namba tatu zinazofuatia baada ya 3×3=9 ni 3×4=12, 3×5=15 na 3×6=18, hivyo utaona sequence hadi kufikia 18 ipo hivi; 3,6,9,12,15,18 -----. au labda aliposema namba hizo ni ufunguo wa siri ya ulimwengu alikuwa na maana kwamba; 3 (30°), 6 (60°) na 9 (90°), katika angles ni angle zinazojitoleza katika trigonometry.
Allah ndo mdudu gani uyo?
umeongea kitu kikubwa sana mkuuNa mie naomba kuchangia hii mada ya hesabati ju ya ufunguo wa siri za ulimwengu,
Hii ipo hivi, kiuhalisia hisabati ndio kufuli ya siri za ulimwengu na sio hisabati pekee masomo yote tunayofundishwa skuli kisaikologia yana kuwa ni kufuli za kuifunga akili ya mwanadamu isotoke nje ya ufahamu unaojengwa na mafunzo hayo,
Hesabati sio zao la uhalisi au nature, hisabati ni man-made structure kama ilivyo mifumo ya masaa tarehe,siku,miezi na miaka, hii yote ni mifumo ya kutunga na sio natural, na sababu za kutunga mifumo yote hii ni kutia kufuli akili ya mwanadamu isitoke nje ya box,akili ya mwanadamu isiwe free kuwaza mambo yake yenyewe na iwe imefungika kwenye hii mifumo ya hesabati na tarehe,n.k
Tuutazame mfano huu wa kufuli ya hesabati¡.
inalazimisha namba zianzie 0 mpaka 9 hii maana yake akili haiwezi tena kutoka nje ya namba 9 na akili haiwezi tena kuvumbua namba mpya zaidi ya namba 9, na haiwezi kuja na maarifa zaidi yatokayo nje ya 0 to 9, yaani kwenye akili zetu mwangaza upo kuanzia 0 mpaka 9 tu baada ya hapo ni kiza kitupu na blockage
Twende kwenye Siri za ulimwengu hizo zinazotarajiwa kufumguliwa kwa hesabati [emoji75],
Siri za ulimwengu haziwezi kufunguliwa na elimu au mfumo wowote tunaoufahamu sisi binadamu, yaani kiuhalisia hizi elimu na mifumo inayotujenga sisi binadamu ipo kwa ajili ya kutuweka mbali na ufahamu wa mifumo halisi ya ulimwengu, na mifumo yote tuliyofunzwa ya ulimwengu sio ya ukweli yote ni uzushi. Na hii mifumo ya uzushi imejengwa kwa kukubaliana na hesabati na kwenye akili zetu chochote kinachokubaliana na hesabati ni kitu halisi.
Kuanzia dunia yenyewe ilivyo, upatikanaji wa seasons, kinachosababisha usiku na mchana, uhalisi wa jua,mwezi,nyota na sayari, upepo ni kitu gani na unasababishwa na nini, mvua inapatikanaje na mengi mengineyo haya yote yanatolewa maelezo yake katika elimu za kutunga za kutunga na sio katika uhalisi wake.
Sisi binadamu sote dunia nzima tunaishi maisha yote hapa duniani hatuwezi kujua kabisa dunia ni kitu gani kiuhalisia, tunaelimishwa kwa kuoneshwa picha za kuchora na video za animations tu, na hakuna hata picha moja ya dunia ambayo ni ya kweli,binadamu hatutakiwi kuijua dunia ni nini na pia hatutakiwi kujua siri halisi za ulimwengu, mambo tunayofunzwa ni mambo ya kutupumbaza tu na kuupoteza wakati wetu wa maisha bure, na kutufanya tusijielewe hata sisi wenyewe ni nani hasa
Nadhani ntarudi tena baadae kuendelea