Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16] Ila ule niuongo uliopitiliza , how can people believe ule ujinga aisee ,!!! Sheeesshh!!hhahaaha Mkuu Ile skrpt ya mud kwenda Mbinguni ni ya mchongo Ile Ile scene iliandikwa na mapadre watano walioasi Catholic na Ili kuepusha mjadala na mtu mwenye Akili timamu wakampa mtu asiyejua kusoma Wala kuandika na kuita muujiza
Vatican created Islamic religion!
haaaaa unamaanisha ule wa Malaika kumkaba Koo na kumlazimisha asome kitabu Toka Kwa Allah ?[emoji16][emoji16][emoji16] Ila ule niuongo uliopitiliza , how can people believe ule ujinga aisee ,!!! Sheeesshh!!
Hahaaa eti akabanwa mbavu , anaambiwa Soma, Halafu akarudi kuwaambia raia ninetokewa na malaika sijui kanibana mbavu na people zikajaa [emoji16][emoji16][emoji16]haaaaa unamaanisha ule wa Malaika kumkaba Koo na kumlazimisha asome kitabu Toka Kwa Allah ?
Yule hata hakua Malaika ni li padre Fulani lilikua linamlazimisha kukariri verse kama mwalimu wa hisabati anavyowalazimisha Kwa bakora watoto wajue kusoma orodha ya kuzidisha!
Mission Yao ilikua ya kiboya Sana still waliwakamata raia kama Leo Mungu na mfalme Zumaridi kuwashika akiri makerubi!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hatari faya wajinga wapo tu daima Labda bahari ikauke!Hahaaa eti akabanwa mbavu , anaambiwa Soma, Halafu akarudi kuwaambia raia ninetokewa na malaika sijui kanibana mbavu na people zikajaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Hakuna kiumbe anaitwa Mungu01 aliye gundua binary no karahisha maisha huu ni uchawi uliopitiliza...
Siri ya uumbaji unaodondokea kwenye Fibonacci Sr unanipelekea kuamini Mungu ni mwanahisabati mwenzetu....
Mungu ni mwana hisabati, hisabati ikiwa juu yenyewe ndio inakuwa mungu.Hakuna kiumbe anaitwa Mungu
Maana na kama yupo lazima atafungwa Kwenye chain ya Hisabati kitu kitakachomfanya ashindwe kua Mkuu na muweza wa yote maana Hisabati Itakua juu yake then afuate yeye kitendo kinachotafsirika ni mdogo tu kama viumbe wengine!
Hisabati na Mungu Kwa maoni Yako kilianza Nini?Mungu ni mwana hisabati, hisabati ikiwa juu yenyewe ndio inakuwa mungu.
😂😂 Mkuu mh! Something Start to kick my headhahahahaha Mkuu Elijah mtshibi alikua ni Alliens au Jamii za Annunaki waliopata kuja Duniani kupiga misele pale Israel ya kale kidogo,
Jamaa kufika pale kitu Cha kushangaza akakutana na Mmoja wa miungu au Goddess queen Jezebel nae ni annunak kashatimba long time ago na amejifanya pisi Kali na kuolewa na mfalme Hezekiah kama nipo sawa,
Basi tunajua Annunaki ni Wazee wa Dhahabu basi wakati jezebel kajikusanyia hazina yake Elijah mtshibi nae akatimba Jerusalem Ili aingie business na mfalme
Refer maandiko yangu kwenye niliposema Annunaki El aliingia Mkataba na Abraham uzao wake utakua ni source na wakusanyaji wa Dhahabu kwenye ule Uzi wa Annunaki kumuumba Binadamu ,
Sasa turudi Kwa jamaa kufika pale na kumkuta Jezebel kashatimba kulimuudhi ni kama waligongana kwenye mission halafu Kila mtu akavunga kama hajaona kitu vile kilichokuja kumtibua jezebel ni Elijah mtshibi kuunguza deal maana aliwakamata manabii wa Baal ambao Jezebel aliwatumia kama propaganda Kwa mfalme
Maana walikua wanaigiza uganga na uchawi na miujiza mingi mingi kumuaminisha mfalme mwamba Jezebel ni Malkia wa nguvu kumbe nyuma Kuna deal na Kila aliejua Siri aliuawa,
Sasa bwana Elijah Ili amuumbue Jezebel Ili mfalme amtimue Akawaita manabii wa Baal akajenga madhabahu akawaambia kama nyie kweli ni manabii wa Huyo Mungu wenu na ananguvu washushe moto kwenye madhabahu iliyotolewa sadaka ya kuchinja na ikamwagiwa na maji mengi Sanaa 😁
Jamaa alikua na visa Sana manabii wale wa mchongo walitumiwa na Jezebel wakaanza fanya maigizo Yao pale kumbuka wao hawakua na uwezo wowote Bali Jezebel akiwa karibu Ndio hufanya manuva kisiri na miujiza hutokea yaanii Ile trick na maujiko huenda Kwa manabii wa mchongo Ili Dili lisibumbuluke
Sasa siku hiyo walichukuliwa na kupelekwa mbali Sana yaani Leo watolewe dar wapelekwe mwanza kutenda miujiza na Jezebel hayupo anayewawezesha
Weeeeeeeee walipiga manyanga wapi!,imba imba Sana na kuvua Hadi nguo hakuna majibu mpaka jua linazama Elijah na mfalme Hezekiah wanawachora tu huku wanagonga popcorn na wine
Baasi mwishoni Elijah mtshibi akamwambia mfalme Hawa wahuni walikua wanakuibia tu na wanatumiwa na Mkeo ambae ni Shetan yule Jezebel kakuroga Ili akuibie dhahabu zako Sasa Kwa
Mbwembwe Elijah mtshibi akasimama Kwa sababu Annunaki ni high advanced technology akavuta siraha ya mionzi kama nyundo ya Thor Ragnarok
Akapeielekeza juuu ikatengeneza power na kitu kama radi Kali Sana akaishusha kuelekeza pale kwenye madhabahu kilichotokea Biblia imesimulia
Haloooo ule moto ulilamba Kila kitu yaani uliyeyusha mpaka mawe 😁🔥🔥🔥🔥
Wote tunajua function ya mionzi ya radiation ilivyo bwana Kila mtu alipagawa na kusujudu Kwa Elijah mtshibi
Jamaa Kwa mbwembwe akawafyeka wale manabii wa mchongo wa Jezebel na mfalme akampa maujiko jamaa akasema twende Kwa Jezebel tukamtie adabu 😁
Jezebel aliposikia taarifa za Kile kitendo Cha jamaa kuunguza Dili lake alimaindiiiiiiii unajua hasira za wanawake Broo,haaahahahaaa
Jezebel si alikua Goddess queen aliapa kumfyeka Elijah mtshibi maana alikua mwanamke wa shoka mwenye ujuzi wa hatari Ile radi ya Elijah mtshibi haikufua dafu Kwa Jezebel yaani jamaa japo ni WA kiume ila mbele ya Ile pisi ya kianunnak ni mchumba tu
Kwani Bible inasemaje kilichofuata?
Elijah mtshibi alikula ndukiiii mpaka kwenda kujificha mapangoni huko aligongwa na njaa mpaka akaomba msaada Kwa wa msosi yaani alituma signal Kwa wenzie akatumiwa kunguru apeleke msosi Kwa Elijah mtshibi
Huyo kunguru hakua kunguru kama unavyoelewa wewe ila ilikua ni mfumo wa drones ambao umekaa kama Eagle 🦅 hivi Ndio jamaa akapata msosi ila msako unaendelea kwake Jezebel hakukubali daaa
Elijah mtshibi alikua na vijakazi wake wa hapa hapa Duniani na pia alikutana na Annunak mwenzie aliekua mshirika wake
Jamaa alivyoona so Sana na karokoroga akaenda sehemu walipoficha invisible Spaceship yake akazama akaifungua code ikaonekana machoni pa wanadamu maana aliens huzificha spaceships kwenye 5D dimensions kutokana na teknolojia kubwa
(Angalia movie ya Eternal pale watchers wanashuka Mesopotamia mwaka 500 BC na Lile spaceship kupambana na Divients)
Ndio utajua Nini namaanisha jamaa akaliwasha dude likasepa Kwa speed ya radi Kali Sana angani na kupotelea
Sasa pale ndipo wale waliokua vijakazi wake wakasema AMEENDA MBINGUNI KWA GARI LA FARASI NA MOTO!
Kumbe ni Spaceship UFOs!
Haya mambo yalianzia kitambo Sana ukisoma Kwa Akili ya kawaida huwezi elewa ila Kwa sisi tuliosoma accient tablets za Summerians tunaelewa nini wanamaanisha!
Ndio hivyo mkuu
hearly
Ndio hivyo Mkuu unajua watu hua wanaisoma bible kana kwamba ni kitabu Cha Imani hivyo ni kama Hadith za kujifurahisha Bila kujua Nini kilimaanisha mule kumbuka bible imeandikwa Kwa mtindo wa hearsay yaani Kuna third person anasimulia ila ukisoma Accient tablets za Sumerians, Assyrian, Babylon, Egyptian NK zinaonesha ni maandishi recorded katika muda mwafaka wakati tukio kimetokea hivyo hua na majibu na ufafanuzi wenye evidence😂😂 Mkuu mh! Something Start to kick my head
Mwenyezimungu ndio Nini !?
Huko kwa avengers unanipeleka mbali sana..😂Ndio hivyo Mkuu unajua watu hua wanaisoma bible kana kwamba ni kitabu Cha Imani hivyo ni kama Hadith za kujifurahisha Bila kujua Nini kilimaanisha mule kumbuka bible imeandikwa Kwa mtindo wa hearsay yaani Kuna third person anasimulia ila ukisoma Accient tablets za Sumerians, Assyrian, Babylon, Egyptian NK zinaonesha ni maandishi recorded katika muda mwafaka wakati tukio kimetokea hivyo hua na majibu na ufafanuzi wenye evidence
Unaambiwa wanasayansi na watafiti wakiweza Soma zile tablets Kwa 60% tu na kufanya majaribio ya kisayansi yaliyokutwa mle Ile teknolojia ya kuficha miji Kwenye dimensions kama Kwenye Wakanda na black Panther au Avengers itaaply live Bila chenga!
Too slowLaleki namba gani hiyo..?
😂😂😂Majibu wanayo wale wahuni waliojenga Pyramids,
Wale wazee wa Mathematics Kali ya kukata miamba Kwa laser tools!
Walishaondoka na Siri zao waliona wakiwaachia binadamu wataiangamiza Dunia ndani muda mfupi Bora wabakie primitive waendelee kutumia mapanga na mishale kuuana!
Secret!
Kama alipaa kwenda mbinguni kweli kama wasemavyo Israelites basi atakua ni Moja ya Annunak na alitumwa na Mungu wake kweli Ili awakomboe Israelites walioacha kumpelekea gold kama sadaka na wakamuua mjumbe wa ANU na Kwa bahati mbaya akafufuka na kirudi kwao hakyanani wajiandae siku Anunak wakirudi watajuta kumkataa Master waoHuko kwa avengers unanipeleka mbali sana..😂
Vipi na yesu alikuwa annunaki..?😅
Kama kucount number tupo sawa tutaweza kufikia speed ya mwanga. Kama sivyo will never ever happen.Ndo nini..?