Matokeo Darasa la Saba: Baadhi ya majina ni fake, tazama hizi shule hapa

Hayo ni baadhi ya majina toka shule za Msingi Lesiraa pamoja Loovilukuny, zote zipo Mkoa wa Arusha.

Nadhani zipo kijijini km sijakosea (kwa kutazama wingi wa majina yanayoakisi kama Jamii za Watu wa eneo moja)
 
Hiyo afadhali, selection ndiyo kituko, yaani namba ni sawa ila jina tofauti yaani wizara ya elimu kuna shida kubwa sana, sasa sijui kwa nini hawamuogopi Dkt Magufuli????
Dr magu? Watu washamjulia tayari.

Naomba link ya hayo majina
 
Hiyo afadhali, selection ndiyo kituko, yaani namba ni sawa ila jina tofauti yaani wizara ya elimu kuna shida kubwa sana, sasa sijui kwa nini hawamuogopi Dkt Magufuli????
Mkuu naomba unitumie PDF ya selection Kama unayo tafadhal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…