Matokeo Darasa la Saba: Baadhi ya majina ni fake, tazama hizi shule hapa

Matokeo Darasa la Saba: Baadhi ya majina ni fake, tazama hizi shule hapa

Dokta Msonde Na Watendaji, Waziri Wa Elimu Na Watendaji
Oops!!! Hapa Kazi Tu, Ila Ukakasi Mwingi Sana
Nafurahi Uweka Ushahidi, Unga Unamwagika Soon
 
ndalichako keshachoka uwaziri
Haya ndiyo madhara ya kubebana.
Kura ya maoni ndani ya chama umebebwa
Ubunge umebebwa
Uwaziri unapewa kama Zawadi
Tuendeleeni kumshangilia na kumsifu Mwenye mamlaka aendelee kutumia mamlaka yaka kama vile Nchi imegeuka kuwa mali yake binafsi na siyo ya Watz.
 
Hayo ni baadhi ya majina toka shule za Msingi Lesiraa pamoja Loovilukuny, zote zipo Mkoa wa Arusha.

Nadhani zipo kijijini km sijakosea (kwa kutazama wingi wa majina yanayoakisi kama Jamii za Watu wa eneo moja)
Marry is not a mesage?
 
Hivi haya majina ya wanafunzi waliochaguliwa darasa la 7 ni ya kweli au ndo kama mambo ya tamisemi kuchomeka majina ya watu ya watu wasiojulikana.

My take:
IT wa wizara hizo 2 wamechoka au wanawahujumu mawaziri waliopo katika nyadhifa hizo

Screenshot_20201219-231435.png

Screenshot_20201219-231523.png
 
Hivi haya majina ya wanafunzi waliochaguliwa darasa la 7 ni ya kweli au ndo kama mambo ya tamisemi kuchomeka majina ya watu ya watu wasiojulikana.
My take:IT wa wizara hizo 2 wamechoka au wanawahujumu mawaziri waliopo katika nyadhifa hizo
Mkuu uzi wake tayari upo.
 
Mtahiniwa namba> PS 0101038-054

Anaitwa> VOICE OVER

Aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Itakuwa kweli ni shida ya browser yako ina translate kwenda kiswahili..mfano mimi juzi naangalia ratiba ya ligi kuu bara kwenye internet nakuta Mwadui vs polisi Tanzania wameandika Mwaenemy vs polisi Tanzania.
 
Hiyo afadhali, selection ndiyo kituko, yaani namba ni sawa ila jina tofauti yaani wizara ya elimu kuna shida kubwa sana, sasa sijui kwa nini hawamuogopi Dkt Magufuli????
wanajua kuwa magufuli anapenda sifa, hivyo wamebuni majina bora tu yawe na ufaulu.
 
Back
Top Bottom