Matokeo Darasa la Saba: Baadhi ya majina ni fake, tazama hizi shule hapa

Matokeo Darasa la Saba: Baadhi ya majina ni fake, tazama hizi shule hapa

Kuna jina mfano:

MARY IS NOT A MESSAGE.

Sasa hili ni jina gani? Na matokeo yake yapo kabisa
Kuna mtu anaitwa:

HAPPYNES NEXT MEDICINES na matokeo yake yapo fresh tu.

Sasa, hili ni jina gani kama sio fake?
Kuna jina kama:

VOICE OVER

na matokeo yapo fresh tu, sasa hiki ni nini?
GRACE IS NOT WAVII

Ni nini hiki?
SHEDRACK THIS YEAR JOSEPH
Shadrack this year joseph
Dr magu? Watu washamjulia tayari.

Naomba link ya hayo majina
Dah kuna jina moja:

zzzzz Tomorrow hahahah
I DON'T HAVE A BREAKDOWN
Three tube amir[emoji1787][emoji1787]
Our fathers Love
Aisee nimecheka kweli. Na huu upuuzi bado wanauendeleza baada ya yale majina ya walimu na informayion zao.
 
Hiyo afadhali, selection ndiyo kituko, yaani namba ni sawa ila jina tofauti yaani wizara ya elimu kuna shida kubwa sana, sasa sijui kwa nini hawamuogopi Dkt Magufuli????
Nisaidie hizo selection mkuu maana Mimi nimejitahidi kutafuta bila mafanikio
 
Guys imebidi nifuatilie, nimegundua kuwa, majina hayo yamebadilishwa kuwa ya kingereza na System. ( System translation)
IMG_4688.jpg


IMG_4684.jpg
 

Attachments

  • IMG_4683.jpg
    IMG_4683.jpg
    94.3 KB · Views: 2
Weka kiswahili kwenye browser yako. Naamini shida ni browser yako kutaka kufanya tafsiri ya majina kwenda kiingereza.
 
Back
Top Bottom