Elimu si Huduma kama mnavyodanganywa na wanasiasa uchwara.
Kuna kulipa kodi lukuki,VAT,city levy,majengo etc.
Shule za serikali hazilipi hivyo vyote.
Waalimu huku private kwakuwa hawana security of tenure wanalipwa mshahara mnono,watoto wao wanasomeshwa kwenye hizi shule na pia wanakaa nyumba za shule.
Serikali inalipoa shule zake utilities like maji,umeme na simu,private inajilipia yenyewe.
Sasa hapo ndio maana Ada inakuwa kubwa kidogo,mfano shule nyingi za Kilimanjaro kama Anwarite,Kibosho Girls,Scholastica ada ni Milioni 4,sasa kama hutaki kulipa hii jaribu ujinga,mpeleke mtoto wako shule ya Bure(kisiasa) Inaitwa turiani ipo Tandale kwa Bi' nyau alafu subiri matokeo!
Ni hayo tu,kwahiyo hata kama mngeweza kuleta majina ya watoto waliofaulu huko Marian,St Fransis etc Wanatoka Kilimanjaro na Arusha,na mikoa Hii walishagomeaga Fiesta inayoendeshwa na Clouds Media ambayo kwa taarifa yenu ile ni "free mason mission" watu wanaitikia 'imoooo' bila kujua huyu ni mungu wa kigiriki!
Watoto wa dar wakifanya hata 1Quiz moja tu utaskia wanaenda Skul Bash,sasa wamevuna mabua