Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

P1602/0011
IV.32
CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'D' KISW - 'D' ENGL - 'D' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

Huyu aende udereva bajaji VETA,si alikuwa "team sijui Wema,sijui Imoooo,sijui school bash" sasa kavuna mabua!
 
Haya matokeo naomba yaundiwe tume,ina maana BAKWATA hatuna hata shule moja iliyo ongoza?Hii ni tume ndo itatoa majibu,ndalichako tujibu
 
Seminary cku hizi hazifaulishi tena kama zawani

Maua,Uru, St James, USA Seminary......sizikiii tena, What went wrong? ....................................................What went What? What went Wrong
Now pia wameingia katika kundi la wafanya biashara...wamepunguza mzuka sana siku hizi wanasema wanatufundisha vizuri tena kwa ada nafuu alafu tunakimbia upadre[emoji28][emoji28][emoji28]....kama ukifuatilia siku hizi ada zao ziko juu sana na ile seriousness ya malezi imepungua kwa kiasi fulani...labda tumewakatisha Tamaaa. .... wazungu nao wamepunguza misaada basi full stress....
 
Elimu si Huduma kama mnavyodanganywa na wanasiasa uchwara.

Kuna kulipa kodi lukuki,VAT,city levy,majengo etc.
Shule za serikali hazilipi hivyo vyote.
Waalimu huku private kwakuwa hawana security of tenure wanalipwa mshahara mnono,watoto wao wanasomeshwa kwenye hizi shule na pia wanakaa nyumba za shule.

Serikali inalipoa shule zake utilities like maji,umeme na simu,private inajilipia yenyewe.

Sasa hapo ndio maana Ada inakuwa kubwa kidogo,mfano shule nyingi za Kilimanjaro kama Anwarite,Kibosho Girls,Scholastica ada ni Milioni 4,sasa kama hutaki kulipa hii jaribu ujinga,mpeleke mtoto wako shule ya Bure(kisiasa) Inaitwa turiani ipo Tandale kwa Bi' nyau alafu subiri matokeo!
Ni hayo tu,kwahiyo hata kama mngeweza kuleta majina ya watoto waliofaulu huko Marian,St Fransis etc Wanatoka Kilimanjaro na Arusha,na mikoa Hii walishagomeaga Fiesta inayoendeshwa na Clouds Media ambayo kwa taarifa yenu ile ni "free mason mission" watu wanaitikia 'imoooo' bila kujua huyu ni mungu wa kigiriki!

Watoto wa dar wakifanya hata 1Quiz moja tu utaskia wanaenda Skul Bash,sasa wamevuna mabua
 
mkuu nisaidieni kuangalizia huyu mdogo wangu tafadhali s1922/0070 bujinga secondary school


Kwangu inakataa kabisa na mpaka sasa sijajua sababu!!!
Screenshot_20170201-080426.png Napata majibu hivi
 
Kwa matokeo haya naona mwenye chini ya D 4 atakuwa kama kapata zero coz mfumo wetu wa elimu utamkataa Mara moja siunajua udahili wa nacte kuanzia D 4 .ila kiujumla matokeo kidogo yanalizisha ila wengi wana D 2 hadi 3 gap la div 1 2 and 3 paka 4 nikubwa sana more than 40% .lazima elimu bure itolewe haraka iwezekanavyo inaua elimu wazazi wanabweteka awawez kuchangia ata hela ya walimu wasio kuwepo .nakumbuka naanza form one hatukuwa Na mwalimu ila wazazi walitoa hela ya kuwalipa walimu wa science ila kwa sasa iyo aiwezekani ila dar tumezidisha social network zinatualibu wanafunzi sana .hongera kwa waliofaulu wote
 
Naombeni link ya taarifa ya matokeo pia link ya mfumo wa kutunuku matokeo maana tunajua kila mwaka wanatuletea mpya labda mwaka huu watabaki pale mfumo wa mwez July mwaka jana au wameweka mpya
 
Nasemaje anaye taka matokeo m namtumia shule nzima atakayo
Note. Unalusha buku baada ya uduma . wote walio pata uduma kwang wanainyoya....
 
Hivi hizi feza ndo zile za gaidi wa uturuki zilizochunguzwa na rais na kuzifuata hapo juzi na kwamba anazifunga?
Aisee tuna kazi kweli kukomboa hii nchi.. ww unajua historia ya huyo raisi WA uturuki??
 
Back
Top Bottom