Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Sasa kama ni jukwaa huru kwa nini unishangae mimi kuchangia uzi wa mtu?, ukute na wewe ni waliopata division one huku ukishuhudia range rover barabarani zinavosukumwa na walioapata zero
Ndio hoja hujibiwa kwa hoja..

Kama umetoka nje ya mada lazima tuseme
 
Miundombinu duni. Watu wachache tu site inapiga chini.
 
Eti wajanja mjini, kumbe ni ujanja unaotokana na ujinga.....duh
 
MATOKEO KIDATO CHA 4

Baraza la Mitihani nchini(NECTA) latangaza matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2016. Wavulana wafaulu kwa 73.26% na Wasichana 67%.

- Feza, St. Francis na Kaizerege zaendelea kutamba kileleni, Dar yaburuza mkia.

Wanafunzi 277,283 (asilimia 70.09) waliofanya mtihani 2016 wafaulu.

Shule za Dar zaongoza washika mkia matokeo ya kidato cha Nne.


Matokeo yote yapo hapa >> http://41.188.136.77:8080/matokeo/2016/csee/index.htm
dahhh..... top ten ni private schools tupu
 
Kwa kifupi shule 6 kati ya top 10 ni za katoliki...
watu woooooooooyoooooo
Watashindana lkn hawatoshinda...
wapige majungu tena.......
TUMSIFU YESU KRISTU..
MILELE AMINA...
KRISTU ....TUMAINI LETU[emoji119]
84990628.jpg

hiyo shamsiye ni shule ya kiislamu
 
Back
Top Bottom