Mr.Wenger
JF-Expert Member
- Nov 20, 2014
- 2,569
- 6,165
Nionavyo mimi;
Shule nyingi za kiislamu hazifanyi vizuri kwa sababu zifuatazo;
1) Hazichuji wanafunzi, wanapokea tu vilaza ili mradi uwe na ada, shule za kikatoliki au kanisa nyingi zinapokea cream yaani bila kifaulu interviews zao hupokelewi. Shule pekee za kiislam zinazochuja ni Feza schools
2) Shule nyingi za kikatoliki zipo katika uangalizi wa taasisi mfano kanisa lakini Islamic schools zinaanzishwa tu yaani mtu anaamua kuanzisha shule yake na kuiita ya kiislam, wengi hawana support kutoka taasisi yoyote ile hivyo hata uwekezaji wao ni mdogo.
Huo ni mtazamo wangu,napokea marekebisho au mawazo tofuti