Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Huu utafiti wa msikitini huu. Ila mkasahau kufanya tathmini ya kwanini kuna 'matajiri' wengi Mtwara, Tunduru, Pwani, Kigoma, Wilaya za mkoa wa Tanga nk. (kwenye waislamu wengi).
Weka list ya matajiri kumi hapa mkuu, nenda kahesabu magorofa , masheli, malori, wenye assets za maana namaanisha............ KAGERA ndio tumaanishwa kuwa wamesoma sana maafa ymetokea watu wanalia lia njaa ushawahi kusikia zanzibar, pemba , Dar na Tanga wanalia njaa?
 
Yaani mkuu sisi enzi zetu mtu akijua jina la shule unayosoma ni kosa ila watoto wa siku hizi hata ukijua shule, bado una kazi ya kujua namba.

Ndio mkuu,ata sasa hivi mtu aki-search jina langu anapata matokeo yangu yote.
 
Eti waislamu wanyanyuke unajua kuwa asilimia zaidi ya 90 matajiri hapa bongo ni waislamu?, wamewaajiri wapuuzi wenye mawazo kama yako?

Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app
Unazungumzia Waarabu kama akina Abood na yule wa Tashriff na Tahmeed?

Weyee unawasifia waislam waarabu na si waislam wabantu.

Si ndio?
 
ina maana vipaji maalum sikuizi hamna

maana sioni
Mzumbe
Kibaha
Ilboru
Kilakala
Msalato

hii ndo bongo bwana
 
Unazungumzia Waarabu kama akina Abood na yule wa Tashriff na Tahmeed?

Weyee unawasifia waislam waarabu na si waislam wabantu.

Si ndio?
Kwani Abood ana uraia wa pakistan? , nenda magomeni na kariakoo ukawaone weusi tii wanamiliki apartments..........wanajua kuhesabu pesa tu na si kuhesabu points za division
 
List ya matajiri Tanzania 98.8% ni Waislamu wamewaajiri wakatoliki. Are happy now??? [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Ndio ni kweli, pia jamii yenye ustawi mzuri nchini Wakristo. Hivyo unaweza ona kipi muhimu.
 
Uwadanganye ya nini? Wapeleke shule wakaone ugumu wake
Hivi nitegemee nini kwa mdogo wangu aliyefanya kama PC? Alisoma QT za hapa mtaani na alikuwa na akili za kawaida tu, mmoja alimaliza Dumila Morogoro, huyu ikija 0 wala sishtuki.
 
MATOKEO KIDATO CHA 4

Baraza la Mitihani nchini(NECTA) latangaza matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2016. Wavulana wafaulu kwa 73.26% na Wasichana 67%.

- Feza, St. Francis na Kaizerege zaendelea kutamba kileleni, Dar yaburuza mkia.

Wanafunzi 277,283 (asilimia 70.09) waliofanya mtihani 2016 wafaulu.

Shule za Dar zaongoza washika mkia matokeo ya kidato cha Nne.


Matokeo yote yapo hapa >> http://41.188.136.77:8080/matokeo/2016/csee/index.htm
mbona hayafunguki mazee
 
Back
Top Bottom