Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

jamani kuna mwenye link nyingine maana hiyo naona haifunguki wapendwa
 
Mdogo wangu sijamuangalizia bado hivyo naomba mwenye link nyingine naomba aweke mana link hiyo juu haifunguki kabisa
 
Hawa somangila na kidete acha wafeli tu, hizi shule zipo kigamboni, utakuta had s4 mwanafunzi yupo mjimwema anasubiri usafiri wa kwenda shule, yan serikali badala ya kujenga mabwen inanunua ndege
 
Back
Top Bottom