Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Matajiri wakubwa ni akina Bakhresa, Abood na Mohammed Dewji etc yaani waarabu tupuuu

Ila kuna Mbantu mmoja ambaye ni Reginald Mengi

Kuna Mbantu muislam katika list hiyo yakhee.....

nijibu tuendelee na barza sheikh
Ali Mafuruki
 
398dc076723dafb4d2c9649372d8715b.jpg
Shamsiye Secondary School.
kama chuo duuhh

hapo lazima ufaulu
 
Wewe mmoja wao ndie kichwa kimejaa mavi....
Tunaongelea elimu si utajiri...tow different topics mfuga majini wewe....
Sishangai kuwa kitu hamna kichwani...linaongelewa A we unakazania B mtaacha kuzungusha....

Jamani wadau tulizeni munkari....taratibuu hapa ni jukwaa la great thinkers.
 
mTANDAO KWANGU UNASUMBUA NASHINDWA KUINGIA WEB YA NECTA
we unataka kupata matokeo yako...?? nitajie shule na namba yako ya mtihani nakutumia sasa hivi hapa hapa jukwaani au hata PM , ni bure sihitaji hata senti tano.Twende kazi.
 
Jamani mbona web iko busy sana kuna njia nyingine ya kuangalia matokeo?
 
Back
Top Bottom