Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Weyeee...hiyo hatuiti sensa tunaita Research ndiyo itakayotupa data kamili...sawa muumin?

Hao ni waislam, watanzania wenye asili ya Asia.

Utajiri wao wengi ukianza na good association ya busineses zao na bank za nje hasa India.

Nitajie Wabantu waislam katika list ya matajiri Tanzania yakhee
Kwani sie wenye asili ya kiarabu sio watanzania, Rhidhiwani kikwete nae mwarabu? unamjua anayemiliki yard za gari kuanzia kilwa road?, my friend mafanikio hayana dini wala elimu na usimdharau aliyepata zero......... Ingekuwa elimu ndio ukombozi kagera wasingelia njaa manake huko kunaingoza kwa maprofesa
 
Ndugu wanabodi, naomba kujitolea kuwapa matokeo yao wale wote ambao huko waliko wanashindwa kuyapata kwa haraka kutoka na mtandao husika wa NECTA kuzidiwa na watumiaji kwa sasa. Mimi nime ya download kabisa hapa . hivyo ni dakika sifuri tu nakupa matokeo yako kisha unajitathmini mwenyewe. Maana mpaka mtandao ukae sawa labda kesho au usiku mnene.
Wadogo zetu msiwaze sana kwani mlio wengi mmefaulu na wale ambao hawajafanikiwa kufaulu wajue kuwa kuna maisha baada ya shule.

Mahitaji muhimu ni : Jina la shule pamoja namba yako ya mtihani >
NB:Matokeo haya wametumia namba za mitihani kutoa matokeo , hivyo usijali kuwa utajulikana jina lako.
nitakutumia PM au hata ukitaka hapa hapa jukwaani.
GHARAMA: NI BURE KABISA. sihitaji hata namba yako ya simu wala e mail.
Karibuni tujuzane matokeo ya kidato cha nne 2016.
 
Hujajibu maswali yangu badala yake umeendelea kuleta porojo bwabwajaji.

Nitajie hao waislam weusi wabantu unaosema ni matajiri Tanzania na wamewaajiri christians.
Porojo gani sasa unazotaka kwani we hujui kuwa waislamu ndio matajiri wa nchi hii?
 
Porojo gani sasa unazotaka kwani we hujui kuwa waislamu ndio matajiri wa nchi hii?
Hapana sijui hilo, ninachojua ni kuwa watanzania wenye asili ya Asia ndio matajiri Tanzania.

Waislam weusi ni matajiri wa mboyoyo mingi mingi
 
Ndugu wanabodi, naomba kujitolea kuwapa matokeo yao wale wote ambao huko waliko wanashindwa kuyapata kwa haraka kutoka na mtandao husika wa NECTA kuzidiwa na watumiaji kwa sasa. Mimi nime ya download kabisa hapa . hivyo ni dakika sifuri tu nakupa matokeo yako kisha unajitathmini mwenyewe. Maana mpaka mtandao ukae sawa labda kesho au usiku mnene.
Wadogo zetu msiwaze sana kwani mlio wengi mmefaulu na wale ambao hawajafanikiwa kufaulu wajue kuwa kuna maisha baada ya shule.

Mahitaji muhimu ni : Jina la shule pamoja namba yako ya mtihani >
NB:Matokeo haya wametumia namba za mitihani kutoa matokeo , hivyo usijali kuwa utajulikana jina lako.
nitakutumia PM au hata ukitaka hapa hapa jukwaani.
GHARAMA: NI BURE KABISA. sihitaji hata namba yako ya simu wala e mail.
Karibuni tujuzane matokeo ya kidato cha nne 2016.
Kwanini usitutumie PM mkuu au via whatsapp?
 
Oi mwenye good access with intetnet aniangalizie S.3278/0041
 
Oi mwenye good access with intetnet aniangalizie S.3278/0041 maana mm inanizingua sana
 
Ilikuwa ya mdogo wangu na nimeshaona mkuu,asante sana.
we unataka kupata matokeo yako...?? nitajie shule na namba yako ya mtihani nakutumia sasa hivi hapa hapa jukwaani au hata PM , ni bure sihitaji hata senti tano.Twende kazi.
 
Kwanini usitutumie PM mkuu au via whatsapp?
UKINIFATA pm NAKUTUMIA UKITAKA JUKWAANI NAKUTUMIA....WHATSAP SITAKI KWAAJILI YA KWAMBA NIMESEMA SITAKI NAMBA ZA SIMU ZA WATU, KWANI MIE LENGO LANGU NI KUWASAIDIA WALE AMBAO HAWAJAPATA MATOKEO YAO WAYAPATE , NOTHING MORE.
 
Back
Top Bottom