Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

ina maana vipaji maalum sikuizi hamna

maana sioni
Mzumbe
Kibaha
Ilboru
Kilakala
Msalato

hii ndo bongo bwana
Hahah
Matajiri wakubwa ni akina Bakhresa, Abood na Mohammed Dewji etc yaani waarabu tupuuu

Ila kuna Mbantu mmoja ambaye ni Reginald Mengi

Kuna Mbantu muislam katika list hiyo yakhee.....

nijibu tuendelee na barza sheikh
 
Leo January 31 2017 Baraza la mitihani Tanzania ‘NECTA’ limetangaza matokeo ya kidato cha nne ‘CSEE 2016’ na matokeo ya mtihani wa maarifa (QT) 2016

Unaweza kutizama matokeo ya Kidato cha nne 2016 kwa haraka zaidi Bofya >>>>HAPA<< Au >>>>>HAPA<<<<<
Ahsante, kwanini baraza wasitumie njia ambayo wewe umeitumia?
 
maswa kwetu nao wameibuka na ile ile ya necta mwamo tuhttp://41.188.136.77:8080/matokeo/2016/csee/index.htm
BARAZA WEKA SEVRAL LINKS !!!! ACHENI KUPANDISHA PRESHA ZA WATU HAPA ( WATAHINIWA, WAZAZI, WALEZI N,K
Yani kwa kweli...preshaaaaaa
 
Tumeyaona mkuu asante sanaaaa[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
ila matokeo huwa habari nyingine kabisaa dogo alikuwa anajiamini atapiga "one" ila naona kalabua "three" ya 25 duuuu
 
Matajiri wakubwa ni akina Bakhresa, Abood na Mohammed Dewji etc yaani waarabu tupuuu

Ila kuna Mbantu mmoja ambaye ni Reginald Mengi

Kuna Mbantu muislam katika list hiyo yakhee.....

nijibu tuendelee na barza sheikh
Ally Mufuruki
 
Back
Top Bottom