Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Sasa kama ni jukwaa huru kwa nini unishangae mimi kuchangia uzi wa mtu?, ukute na wewe ni waliopata division one huku ukishuhudia range rover barabarani zinavosukumwa na walioapata zero
Ndio hoja hujibiwa kwa hoja..

Kama umetoka nje ya mada lazima tuseme
 
Miundombinu duni. Watu wachache tu site inapiga chini.
 
Eti wajanja mjini, kumbe ni ujanja unaotokana na ujinga.....duh
 
dahhh..... top ten ni private schools tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…