Matokeo Kidato cha Sita 2024 yatoka. Ufaulu wapanda kwa asilimia 0.26

Matokeo Kidato cha Sita 2024 yatoka. Ufaulu wapanda kwa asilimia 0.26

Matokeo ya mwaka huu ni michosho, shule za special kwa wasichana hakuna 1 ya 3,

Huko private, km Mazinde Juu upande wa science sijaona maajabu kabisaa, aaaah.
Itapunguza ushindani wa kuingia chuo kikuu hasa kwenye fani za afya.
 
Wanafaulu but reasoning ability or capacity iko chini sana, they are taught to answer exam only..!! But new curriculum will treat that weakness..!!
 
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2024, leo Jumamosi Julai 13, 2024 katika ofisi za Baraza hilo Zanzibar.

Kuangalia matokeo bonyeza hapa: Matokeo Kidato cha Sita 2024

Jumla ya watahiniwa 113,504 walifanya mtihani wa kidato cha sita, mwaka huu ambapo ulifanyika kwenye jumla ya shule 931 na vituo vya watahiniwa wa kujitegemea 258

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Said Mohamed amesema ufaulu kwa ujumla mwaka huu umepanda kwa asilimia 0.26 ukilinganisha na mwaka uliopita.

Kuangalia matokeo ya Mtihani wa Ualimu (DSEE) 2024 bonyesha hapa

Aidha, amesema matokeo kwa masomo yote ufaulu wake upo zaidi ya asilimia 90.

Kuangalia matokeo ya Mtihani wa Ualimu (GATCE) 2024 bonyeza hapa
Kilimanjaro bado inaendelea kuongoza kwa elimu, hawa wachaga kuna la kujifunza kwao.
 
Kilimanjaro bado inaendelea kuongoza kwa elimu, hawa wachaga kuna la kujifunza kwao.
Screenshot_2024-07-13-19-41-47-93_73617a28b0d3e7e6a04848a88f233e6b_1.jpg
 
Wanafaulu but reasoning ability or capacity iko chini sana, they are taught to answer exam only..!! But new curriculum will treat that weakness..!!
Kuna mdogo wng kapata History C, Kiswahili E na English F vipi anaweza kupata chuo?
 
Back
Top Bottom