Matokeo Kidato cha Sita 2024 yatoka. Ufaulu wapanda kwa asilimia 0.26

Matokeo Kidato cha Sita 2024 yatoka. Ufaulu wapanda kwa asilimia 0.26

Kuna mdogo wng kapata History C, Kiswahili E na English F vipi anaweza kupata chuo?
Atapata! Cut points ni kuanzia nne, na yeye ana nne. Angalia prospectors za vyuo mbalimbali ambavyo vinaweza kumchukua Kwa ufaulu wake huo na kozi anayoweza somea.
 
Hadi shule yetu nyampulukano ina division 1 za 3 kweli mama anaupiga mwingi
Screenshot_20240714_104524_Chrome.jpg
 
Kunae Dogo alihama kutoka Private school na kwenda special school ya GVT alikopangiwa, leo tokeo limetoka kapiga 1 ya 5.

Mtoto ana furaha na shangwe, ila wazazi hawafurahi, kisa shule aliyohama 1 za 3 na 4 ziko bwereree, ko huenda nayeye angekua miongoni mwa hao.

Mtoto alichagua furaha yake. Lol
chai
 
Dah Madogo siku hizi wanafaulu Kinoma Yaani 1 za kufikia tu
Shule niliyosoma hawakuvunja record ya matokeo yangu six Consecutive years ila kwa sasa naonekana kilaza mmoja alipitaga pale
C'mon necta ebu rudisheni ile mitihani tulikuwa tunasweat kweli 2007, 2012 nk.
 
Atapata! Cut points ni kuanzia nne, na yeye ana nne. Angalia prospectors za vyuo mbalimbali ambavyo vinaweza kumchukua Kwa ufaulu wake huo na kozi anayoweza somea.
Hapo hapati bora hiyo kiswahili ingekuwa D na history D
 
Back
Top Bottom