Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliipiga sema ndo ivo nilipoteza miaka miwli bure unapata marks za kawaida sana 😂Ulikimbia mziki wa pcb sio?
Kinachoangaliwa ni cut points au D ngapi?Hapo hapati bora hiyo kiswahili ingekuwa D na history D
Minnashangaa sanaShule niliyosoma hawakuvunja record ya matokeo yangu six Consecutive years ila kwa sasa naonekana kilaza mmoja alipitaga pale
C'mon necta ebu rudisheni ile mitihani tulikuwa tunasweat kweli 2007, 2012 nk.
Principal pass siku hizi ni D and aboveKinachoangaliwa ni cut points au D ngapi?
Kuingia chuo ni point 4 Kwa masomo mawili; au wamebadilisha?
D = 2 points (2+2 = 4)
C = 3 points; E = 1 point
(3 + 1 = 4)
Cha msingi atafute prospectors za vyuo mbalimbali ili Aone ni kozi gani anaweza kuchaguliwa kulingana na ufaulu wake huo.
Duh! Kumbe wamebadilisha. Sikujua Hilo. Nilidhani E bado inachukuliwa kama principal pass yenye point 1.Principal pass siku hizi ni D and above
Yaani kuingia kusoma degree lazima ziwe Principal pass mbili
Ulichojibu ni tofauti na kilichopo TCU 👇👇Principal pass siku hizi ni D and above
Yaani kuingia kusoma degree lazima ziwe Principal pass mbili
Furaha na shangwe connection na watu wenye akili zao kichwani ni kubwa amevijua vitu vingi kuliko angesoma huko private big up kwake sana shule za serikali hasa special zinafundisha vingi sanaKunae Dogo alihama kutoka Private school na kwenda special school ya GVT alikopangiwa, leo tokeo limetoka kapiga 1 ya 5.
Mtoto ana furaha na shangwe, ila wazazi hawafurahi, kisa shule aliyohama 1 za 3 na 4 ziko bwereree, ko huenda nayeye angekua miongoni mwa hao.
Mtoto alichagua furaha yake. Lol