Matokeo Kidato cha Sita 2024 yatoka. Ufaulu wapanda kwa asilimia 0.26

Matokeo ya mwaka huu ni michosho, shule za special kwa wasichana hakuna 1 ya 3,

Huko private, km Mazinde Juu upande wa science sijaona maajabu kabisaa, aaaah.
Itapunguza ushindani wa kuingia chuo kikuu hasa kwenye fani za afya.
 
Wanafaulu but reasoning ability or capacity iko chini sana, they are taught to answer exam only..!! But new curriculum will treat that weakness..!!
 
Kilimanjaro bado inaendelea kuongoza kwa elimu, hawa wachaga kuna la kujifunza kwao.
 
Wanafaulu but reasoning ability or capacity iko chini sana, they are taught to answer exam only..!! But new curriculum will treat that weakness..!!
Kuna mdogo wng kapata History C, Kiswahili E na English F vipi anaweza kupata chuo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…