DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Duh mpe polee AiseeLaw School ni chuo cha ajabu!! Mwanafunzi huwa hapewi continuous assessment, anafanya mtihani wa mwisho bila kujua ana alama ngapi kwenye continuous assessment!! Matokeo ya mwisho ndo unaambiwa continuous assessment ulikuwa na grade gani!!
Jamaa yangu amechungulia akaunti yake akakuta amekandwa masomo yote!!
[emoji106]Yaani kuna mawakili vilaza kwenye soko hadi wana buruzwa na ma layman kwenye mfumo wa sheria, law school wako sawa hakuna upendeleo kwenye kufaulu,maana wakituletea hayo ma mabomu huku mtaani waathirika wakubwa watakua wananchi wa kawaida!!
[emoji2956]Kabisaaa dear nna wazee wenzangu wamesoma na wametoboa wanasoma km CPA vileee hawa watoto waliozoea chabo kukariri law school waiache Kuna mmoja dogo tu katoboa yuko serious na shule kinomaa
[emoji1787][emoji1787]Hakika kusoma hawataki matokeo yakitoka eti wanakamatwa makusudi? Seriously?
Ajenda yako ni kuwapunguza kina Mwambukusi[emoji3][emoji3][emoji3]......Law School ni chuo cha ajabu!! Mwanafunzi huwa hapewi continuous assessment, anafanya mtihani wa mwisho bila kujua ana alama ngapi kwenye continuous assessment!! Matokeo ya mwisho ndo unaambiwa continuous assessment ulikuwa na grade gani!!
Jamaa yangu amechungulia akaunti yake akakuta amekandwa masomo yote!!
Braza angu aliingia intake ya 2022 January wakamalza December matokeo yalitoka mwaka huu alkuwa miongoni mwa wale 23, graduation yao julai walihitimu 190 wakiwemo wenye sup na CaryPale kuna shida pachunguzwe...
Kuna watu wapo nawajua wanalia pia...
CPA mwanzon walkuwa wanazngua wanafunz kuja kuelewa unatakiwa usome kisawa sawa mbn sku hz ufaulu uko vzr kw a kias unaandaliwa kuwa professional na sio mtu wa degree only ko lzm usome sanaPale kuna shida pachunguzwe...
Kuna watu wapo nawajua wanalia pia...
Eti waliohitimu juzi nasikia wametoka 7 tuu...Braza angu aliingia intake ya 2022 January wakamalza December matokeo yalitoka mwaka huu alkuwa miongoni mwa wale 23, graduation yao julai walihitimu 190 wakiwemo wenye sup na Cary
Ila pale msuli msul
Duuuh Saba..... Hongera zao wanastahil Ila Bora upate sup kulko disco htre sanaEti waliohitimu juzi nasikia wametoka 7 tuu...
Na wanakuwa zaidi ya 300..
Hawa ni majipu...
Watumbuliweeeee...
- hao ma Layman Wana waburuzaje hao Mawakili?Yaani kuna mawakili vilaza kwenye soko hadi wana buruzwa na ma layman kwenye mfumo wa sheria, law school wako sawa hakuna upendeleo kwenye kufaulu,maana wakituletea hayo ma mabomu huku mtaani waathirika wakubwa watakua wananchi wa kawaida!!
Sio kweli,Wengi wanaosoma Sheria nowdays ni vilaza grade one
Ilishaundwa tume ichunguze mwaka Jana nadhani walivokutana navyo ni aibu,walileta baadhi ya majibu yakiwemoPale kuna shida pachunguzwe...
Kuna watu wapo nawajua wanalia pia...
πππππππππππPigeni msuli,kwenda pale afu mnajifanya Wala Bata mtaliwa kichwa kwa Sana tu.
Yuko vzr huyooo dada Ako,hawatengenezi scarcity Wala nini...vyuoni huku undergraduate magumashi MENGI tuseme ukweli pale wanataka utumie akili Yako kufaulu brooo....Mimi nawaelewa sanaaa...na natamani wakaze hvyo hvyoo..elimu yetu maeneo MENGI magumashi waTokea nizisikie habari ya kusoma rundo na kuhitim,wachache imenibidi nimpigie saluti sista yangu kwa kuhitim aixee,Sasa kwa wanachokifanya Hawa ni kutengeneza scarcity ya watu waliobobea Zen ukimaliza Basi inakuwa rahisi kupata shavu,achana na hizi degree zetu kitaa
ExactlyIla tuseme ukweli hii taaluma ya sheria inahitaji kusoma kusoma kusoma sana kwa kweli,