DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Duh mpe polee AiseeLaw School ni chuo cha ajabu!! Mwanafunzi huwa hapewi continuous assessment, anafanya mtihani wa mwisho bila kujua ana alama ngapi kwenye continuous assessment!! Matokeo ya mwisho ndo unaambiwa continuous assessment ulikuwa na grade gani!!
Jamaa yangu amechungulia akaunti yake akakuta amekandwa masomo yote!!