Matokeo Law School Cohort ya 35 yametoka: Sijui matokeo ya jumla yakoje, maana hutoka kimya kimya kila mtu anachungulia akaunti yake tu!!

Law School ni chuo cha ajabu!! Mwanafunzi huwa hapewi continuous assessment, anafanya mtihani wa mwisho bila kujua ana alama ngapi kwenye continuous assessment!! Matokeo ya mwisho ndo unaambiwa continuous assessment ulikuwa na grade gani!!
Jamaa yangu amechungulia akaunti yake akakuta amekandwa masomo yote!!
Duh mpe polee Aisee
 
Yaani kuna mawakili vilaza kwenye soko hadi wana buruzwa na ma layman kwenye mfumo wa sheria, law school wako sawa hakuna upendeleo kwenye kufaulu,maana wakituletea hayo ma mabomu huku mtaani waathirika wakubwa watakua wananchi wa kawaida!!
[emoji106]
 
Ajenda yako ni kuwapunguza kina Mwambukusi[emoji3][emoji3][emoji3]......
 
Braza angu aliingia intake ya 2022 January wakamalza December matokeo yalitoka mwaka huu alkuwa miongoni mwa wale 23, graduation yao julai walihitimu 190 wakiwemo wenye sup na Cary
Ila pale msuli msul
Eti waliohitimu juzi nasikia wametoka 7 tuu...

Na wanakuwa zaidi ya 300..

Hawa ni majipu...

Watumbuliweeeee...
 
Tokea nizisikie habari ya kusoma rundo na kuhitim,wachache imenibidi nimpigie saluti sista yangu kwa kuhitim aixee,Sasa kwa wanachokifanya Hawa ni kutengeneza scarcity ya watu waliobobea Zen ukimaliza Basi inakuwa rahisi kupata shavu,achana na hizi degree zetu kitaa
 
Yaani kuna mawakili vilaza kwenye soko hadi wana buruzwa na ma layman kwenye mfumo wa sheria, law school wako sawa hakuna upendeleo kwenye kufaulu,maana wakituletea hayo ma mabomu huku mtaani waathirika wakubwa watakua wananchi wa kawaida!!
- hao ma Layman Wana waburuzaje hao Mawakili?
 
Pale kuna shida pachunguzwe...

Kuna watu wapo nawajua wanalia pia...
Ilishaundwa tume ichunguze mwaka Jana nadhani walivokutana navyo ni aibu,walileta baadhi ya majibu yakiwemo
Wanafunzi wengi uelewa mdogo ,hawajui kingereza na uwezo mdogo wa kutetea hoja...!!law school km CPA tuuuu!!!longolongo hakuna ukifeli umefeli kweli
Hawaonewi ila hawasomi
 
Tokea nizisikie habari ya kusoma rundo na kuhitim,wachache imenibidi nimpigie saluti sista yangu kwa kuhitim aixee,Sasa kwa wanachokifanya Hawa ni kutengeneza scarcity ya watu waliobobea Zen ukimaliza Basi inakuwa rahisi kupata shavu,achana na hizi degree zetu kitaa
Yuko vzr huyooo dada Ako,hawatengenezi scarcity Wala nini...vyuoni huku undergraduate magumashi MENGI tuseme ukweli pale wanataka utumie akili Yako kufaulu brooo....Mimi nawaelewa sanaaa...na natamani wakaze hvyo hvyoo..elimu yetu maeneo MENGI magumashi wa
Kibao ndo tunapata wahitimu wa hovyooo acha wakaze hvyo hvyooo
 
Back
Top Bottom