BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Nahisi ndio maana wanajiita wasomiExactly
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi ndio maana wanajiita wasomiExactly
Saut Huwa ni wengi sana Hawa😃😃naisikia cohort hii ni zaid ya zilizopita waliotoboa first sitting ni wachache...
Nangojea blabla za SAUT kutoa idadi kubwa ya first sitting
Ooh CPA T congrats [emoji109][emoji482][emoji482]Sio kweli,
Kila taaluma Ina vilaza, sio sheria tu
Inaonekana Pengine ulifeli Law school
BTW mimi Nina CPA
Watumbuliwe kwa kosa lipi? Kwa kosa la watu wasiotaka kusoma?Eti waliohitimu juzi nasikia wametoka 7 tuu...
Na wanakuwa zaidi ya 300..
Hawa ni majipu...
Watumbuliweeeee...
Just on common sense!!- hao ma Layman Wana waburuzaje hao Mawakili?
Reasoning capacity!!- hao ma Layman Wana waburuzaje hao Mawakili?
Reasoning bila kujua Sheria ni kazi bureReasoning capacity!!
Au sio.Just on common sense!!
Sasa kama hiyo reasoning capacity yako iko chini,si lazima utafeli Law School automatically!??Reasoning bila kujua Sheria ni kazi bure
- hapana mitihani ya Lawschool inapima ujuzi wa Sheria, uandishi wa nyaraka za kiSheria na pia jinsi ya kuchambua matukio ya kiSheria, na ku-reasonSasa kama hiyo reasoning capacity yako iko chini,si lazima utafeli Law School automatically!??
Na wasomi kweli Mimi wahitimu wa CPA na law school nawaheshimu mnooo wanaomaliza paleNahisi ndio maana wanajiita wasomi
Mwaka huu wamefaulu wangapi mitihani ya law school, na watahiniwa walikua wangapi!!? Siyo kila mwenye degree ya sheria anaijua vizuri sheria!!- hapana mitihani ya Lawschool inapima ujuzi wa Sheria, uandishi wa nyaraka za kiSheria na pia jinsi ya kuchambua matukio ya kiSheria, na ku-reason
Sijajua idadi ya waliofaulu,Mwaka huu wamefaulu wangapi mitihani ya law school, na watahiniwa walikua wangapi!!? Siyo kila mwenye degree ya sheria anaijua vizuri sheria!!
Kwa nini hawatoi course work? Hiyo ni shida ya msingi!!Pale kuna shida pachunguzwe...
Kuna watu wapo nawajua wanalia pia...
Law school hawajiamini kuweka wazi matokeo yao maana wanajua ni magumasahi na yataleta taharuki! Bodi zingine hutoa matokeo hadharani kwenye tovuti zao kwa kutumia namba za watahiniwa!! Lakini law school wanakuwekea matokeo yako tu kwenye akaunfi yako!Sijajua idadi ya waliofaulu,
Umeongea kwa Hasira Sana Mkuu.Elimu ya bongo upuuzi mtupu.
Bado tumebase kwenye elimu ya ujima ya kukomoana kwa kuamini akili ni kujaza matakataka kichwani badala ya kuamini ktk uelewa wa jambo kulingana na Free willing na utashi wa mtu, lakini sisi mpaka leo tunang'ang'ania mfumo wa kuwapima watu kwa kukalili na kuwapa mambo magumu ya kuwakomoa.
Elimu bora haipimwi kwa huu mfumo wa kishenzi tunaoutumia Tanzania kwa kuwakomoa wanafunzi.
Haimake sense eti wanafunzi zaidi ya 1000 alafu wanaofaulu hawafiki hata nusu, alafu msingizie watu hawasomi, huu ni upuuzi, tena kwa nyakati hizi suala la lugha ni jambo dogo sana maana wanafunzi wengi ni matoleo/matokeo ya wale wanafunzi waliofaulu vizuri shule za English medium na kufaulu vizuri hilo somo la Lugha ya kiingereza tofauti na hiyo zaman mnayodai kuwa watu walikuwa wakisoma huku lugha ikiwa tatizo sugu.
Tuweke ukweli ni kwamba bado tunaishi ktk UJIMA na kukomoana hatuna Uelewa wa kujua kuwa mambo yanabadirika kulingana na nyakati, nyakati walizoishi mababu zetu sio nyakati sawa na hizi za sasa, tuache upumbavu.
Bado tunashida ya kujitambua kama Taifa, nasema tena bado tunashida ya kujitambua ndiomaana tunazalisha Wanasheria vilaza ambao hata hawawezi kulitetea taifa huko duniani kwa wenzetu dhidi ya mikataba ya kishenzi waliyosaini baadhi ya watanzania washenzi ambao wengi wao ndio hao waliofaulu.
Kama hao wachache mnaozalisha na mnaamini wamekidhi vigezo vya kufaulu kwanini katika migogoro ya kulitetea taifa dhidi ya mikataba huko dunian mnatutia aibu? Maajabu ni kuwa mtu ambaye hajui lolote kuhusu sheria ana confidence ya kulitetea Taifa.
Tunazalisha vilaza wanaokalili vitabu badala ya kuzalisha wasomi wanaoelewa mambo kulingana na utashi wao, vipawa vyao na mahitaji ya kizazi cha sasa.
Hao vilaza wenu wachache mnaowafaulisha na kufelisha wengi hakikisheni wanalikomboa hili taifa dhidi ya ujinga wa kushindwa kujua haki na wajibu wa raia ktk nchi yao, sheria za mikataba haramu kwa nchi yetu, sheria kandamizi na mikataba ya ulaghai kwa taifa, tofauti na hapo Bora mfute huo mfumo wa kinyonyaji.