Matokeo Law School Cohort ya 35 yametoka: Sijui matokeo ya jumla yakoje, maana hutoka kimya kimya kila mtu anachungulia akaunti yake tu!!

Eti waliohitimu juzi nasikia wametoka 7 tuu...

Na wanakuwa zaidi ya 300..

Hawa ni majipu...

Watumbuliweeeee...
Watumbuliwe kwa kosa lipi? Kwa kosa la watu wasiotaka kusoma?
 
- hapana mitihani ya Lawschool inapima ujuzi wa Sheria, uandishi wa nyaraka za kiSheria na pia jinsi ya kuchambua matukio ya kiSheria, na ku-reason
Mwaka huu wamefaulu wangapi mitihani ya law school, na watahiniwa walikua wangapi!!? Siyo kila mwenye degree ya sheria anaijua vizuri sheria!!
 
Sijajua idadi ya waliofaulu,
Law school hawajiamini kuweka wazi matokeo yao maana wanajua ni magumasahi na yataleta taharuki! Bodi zingine hutoa matokeo hadharani kwenye tovuti zao kwa kutumia namba za watahiniwa!! Lakini law school wanakuwekea matokeo yako tu kwenye akaunfi yako!
 
Elimu ya bongo upuuzi mtupu.

Bado tumebase kwenye elimu ya ujima ya kukomoana kwa kuamini akili ni kujaza matakataka kichwani badala ya kuamini ktk uelewa wa jambo kulingana na Free willing na utashi wa mtu, lakini sisi mpaka leo tunang'ang'ania mfumo wa kuwapima watu kwa kukalili na kuwapa mambo magumu ya kuwakomoa.

Elimu bora haipimwi kwa huu mfumo wa kishenzi tunaoutumia Tanzania kwa kuwakomoa wanafunzi.

Haimake sense eti wanafunzi zaidi ya 1000 alafu wanaofaulu hawafiki hata nusu, alafu msingizie watu hawasomi, huu ni upuuzi, tena kwa nyakati hizi suala la lugha ni jambo dogo sana maana wanafunzi wengi ni matoleo/matokeo ya wale wanafunzi waliofaulu vizuri shule za English medium na kufaulu vizuri hilo somo la Lugha ya kiingereza tofauti na hiyo zaman mnayodai kuwa watu walikuwa wakisoma huku lugha ikiwa tatizo sugu.

Tuweke ukweli ni kwamba bado tunaishi ktk UJIMA na kukomoana hatuna Uelewa wa kujua kuwa mambo yanabadirika kulingana na nyakati, nyakati walizoishi mababu zetu sio nyakati sawa na hizi za sasa, tuache upumbavu.

Bado tunashida ya kujitambua kama Taifa, nasema tena bado tunashida ya kujitambua ndiomaana tunazalisha Wanasheria vilaza ambao hata hawawezi kulitetea taifa huko duniani kwa wenzetu dhidi ya mikataba ya kishenzi waliyosaini baadhi ya watanzania washenzi ambao wengi wao ndio hao waliofaulu.

Kama hao wachache mnaozalisha na mnaamini wamekidhi vigezo vya kufaulu kwanini katika migogoro ya kulitetea taifa dhidi ya mikataba huko dunian mnatutia aibu? Maajabu ni kuwa mtu ambaye hajui lolote kuhusu sheria ana confidence ya kulitetea Taifa.

Tunazalisha vilaza wanaokalili vitabu badala ya kuzalisha wasomi wanaoelewa mambo kulingana na utashi wao, vipawa vyao na mahitaji ya kizazi cha sasa.

Hao vilaza wenu wachache mnaowafaulisha na kufelisha wengi hakikisheni wanalikomboa hili taifa dhidi ya ujinga wa kushindwa kujua haki na wajibu wa raia ktk nchi yao, sheria za mikataba haramu kwa nchi yetu, sheria kandamizi na mikataba ya ulaghai kwa taifa, tofauti na hapo Bora mfute huo mfumo wa kinyonyaji.
 
Umeongea kwa Hasira Sana Mkuu.
 
Wengi wanafurahia, wangejua mavyuoni kunakufelishwa kimakusudi wangewatetea hao waliofeli,.
 
Back
Top Bottom