Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Kweli watu wa Babati wanajielewa. Nimewasikia Channel ten taarifa ya habari wakisema kwenye katiba ya CHADEMA hakuna kifungu hata kimoja kinachosema chama kitagomea uchaguzi.

Ndio maana wao wameenda kupiga kura.
 
Ukisusa wenzio wala !
Watanzania halisi wamefanya kitu cha maana sana, wameomesha jinsi wanavyoipenda nchi yao kuliko chama chenu cha maigizo. Waliopiga kura katika mitaa/vijiji vingi hawazidi 30. Pikeni takwimu za wapiga kura ili mjifurahishe, lakini meseji imefika.
 
Kama wameshindwa kufuata masharti ya chama cha DJ wajiunge na vyama vingine. Chama cha mtu binafsi huwezi kumpangia cha kufanya.
 
Kwa kuwa Chadema inajiendesha kwa kutumia ruzuku ya serikali ambayo ni kodi ya wananchi basi Watanzania watapenda kuona chama hiki kikuu cha Upinzani nchini kinapata viongozi bora.

Hivyo basi kukamilika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa kunawafanya watanzania wahamishie macho na masikio yao kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa Vhadema taifa na wasaidizi wake.

Maendeleo hayana vyama!
 
Sekeseke la uchaguzi wa leo wa serikali za mitaa ccm wamepita nyumba kwa nyumba kuomba wananchi waende wakapige kura baada ya watu waliojitokeza kuwa wachache.
 
Wadau tujuzane vyama vya upinzani vilivyoshiriki uchaguzi ni wagombea wangapi wa upinzani wameshinda. Weka jina la mgombea wa upinzani aliyeshinda na eneo lake.
 
Kumbe walidanganya wazungu wao kuwa wamesusi ila walikuwemo


State agent
 
Hayo ni mapoyoyo ya ccm wanataka ionekane Chadema,
Kweli watu wa Babati wanajielewa. Nimewasikia Channel ten taarifa ya habari wakisema kwenye katiba ya CHADEMA hakuna kifungu hata kimoja kinachosema chama kitagomea uchaguzi.

Ndio maana wao wameenda kupiga kura.
 
Na Mimi nikashangaa kumbe wameshiriki wanasema hata chama kinaweza kupotea ila babati itaishi milele

State agent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…