johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hapa Bunju kuna taarifa kuwa Chadema wametetea mtaa wao wa Tegeta Pwani kwa ushindi mwembamba sana!Wadau tujuzane vyama vya upinzani vilivyoshiriki uchaguzi ni wagombea wangapi wa upinzani wameshinda. Weka jina la mgombea wa upinzani aliyeshinda na eneo lake.
Maigizo yenu yamwadodea mmeanza ngonjera?Kweli watu wa Babati wanajielewa. Nimewasikia Channel ten taarifa ya habari wakisema kwenye katiba ya CHADEMA hakuna kifungu hata kimoja kinachosema chama kitagomea uchaguzi.
Ndio maana wao wameenda kupiga kura.
Orodha za wagombea zimeanza kutoka!
Mnajichosha Chadema walikwishajitoa hizo ni propaganda za CCM baada ya Uchaguzi kugomewaKweli watu wa Babati wanajielewa. Nimewasikia Channel ten taarifa ya habari wakisema kwenye katiba ya CHADEMA hakuna kifungu hata kimoja kinachosema chama kitagomea uchaguzi.
Ndio maana wao wameenda kupiga kura.
Wameshiriki kusindikiza mshindiNdio
Sio wewe tuu, bali kila mmoja anamuona kituko kasoro wale wanaccm kumbikumbi wafuatao mwanga wa karabai kumbe ndio kifo chao!Hao wana vyama vyao vya huko Tabora. Unajua huu usanii usanii unaofanywa na serikali ya CCM unanifanya niwe na dharau kubwa sana juu yao. Yani namuona Rais kama vile sijui nini!
Fine, ni jia nzuri ya kuwafuta uanachama wasaliti. Hilo ni la kupongeza, wamajifuta uanachamaKweli watu wa Babati wanajielewa. Nimewasikia Channel ten taarifa ya habari wakisema kwenye katiba ya CHADEMA hakuna kifungu hata kimoja kinachosema chama kitagomea uchaguzi.
Ndio maana wao wameenda kupiga kura.